Dufla Dilingon – Rumours Lyrics Ft. Iyanii
[Intro: Dufla Dilingon, Iyanii]
Let me talk about Waka Waka, Wagwan!
This is Dufla Dilingon, Dancehall solution
Dancehall transition (Uh, huh)
Wagwan Iyanii
Let me talk about “Tunakujua” (he-he-he-he)
Iyanii na Dufla wooo!
Na ni Dufla, Dilingon
(WakaWaka! Waka)
[Chorus: Iyanii, Dufla Dilingon]
Wanasema nimesota, mi sina doh (uh huh)
Mara niko wash wash naosha doh (uh huh)
Wacha kuspread hizo rumours
We wacha, we wacha, we wacha
Ati gari yangu ni ya loan
Mara nimewekwa na sponyo (uh huh)
Wacha kuspread hizo rumours
You better, you better, wooo!
[Post-Chorus: Dufla Dilingon]
Rumours, don’t spread, don’t spread, don’t spread
Don’t spread, don’t spread, don’t spread
Rumours, don’t spread, don’t spread, don’t spread
Don’t spread, don’t spread, don’t spread
[Verse 1: Dufla Dilingon]
Kila kitu na—, kila kitu mi napata
Ni bidii na jasho imeniweka hapa
Hii ni kufaa, na nakula bata
Wenye wivu wajinyonge wakitaka
[Refrain: Iyanii]
Wanababaika sana, wakiona vile Mungu anafungua njia
Mwenzangu we’ pambana, usiseme Illuminati inanisaidia
Wanahangaika sana, wakitafuta vile wataniharibia
Kile nachopata, naridhika, na najivunia
[Chorus: Iyanii, Dufla Dilingon]
Wanasema nimesota, mi sina doh (uh huh)
Mara niko wash wash naosha doh (uh huh)
Wacha kuspread hizo rumours
We wacha, we wacha, we wacha
Ati gari yangu ni ya loan
Mara nimewekwa na sponyo (uh huh)
Wacha kuspread hizo rumours
You better, you better, wooo!
[Post-Chorus: Dufla Dilingon]
Rumours, don’t spread, don’t spread, don’t spread
Don’t spread, don’t spread, don’t spread
Rumours, don’t spread, don’t spread, don’t spread
Don’t spread, don’t spread, don’t spread
[Verse 2: Dufla Dilingon]
Criminal, unaniita criminal
Juu naenda kutafuta usiku mi sio criminal
Criminal, unaniita criminal
Na level zangu ziko top, you can’t see me now
Doba zangu huwanga genje yaani ni mbaya
Eti Dufla nimepotea niko ulaya
Kwa Dancehall niko rieng mi ni live wire
Manzi yangu ni Size 8 na si wa Muraya
[Refrain: Iyanii]
Wanababaika sana, wakiona vile Mungu anafungua njia
Mwenzangu we’ pambana, usiseme Illuminati inanisaidia
Wanahangaika sana, wakitafuta vile wataniharibia
Kile nachopata, naridhika, na najivunia
[Chorus: Iyanii, Dufla Dilingon]
Wanasema nimesota, mi sina doh (uh huh)
Mara niko wash wash naosha doh (uh huh)
Wacha kuspread hizo rumours
We wacha, we wacha, we wacha
Ati gari yangu ni ya loan
Mara nimewekwa na sponyo (uh huh)
Wacha kuspread hizo rumours
You better, you better, wooo!
[Post-Chorus: Dufla Dilingon]
Rumours, don’t spread, don’t spread, don’t spread
Don’t spread, don’t spread, don’t spread
Rumours, don’t spread, don’t spread, don’t spread
Don’t spread, don’t spread, don’t spread
Produced by: Wakawaka
Video directed by: KG Brian