Lyrics > Exray Taniua – Big Mama Lyrics Ft. Scar Mkadinali

Exray Taniua – Big Mama Lyrics Ft. Scar Mkadinali

Exray Taniua - Big Mama Lyrics Ft. Scar Mkadinali
Big Mama Behind The Scenes

Listen and read Exray Taniua – Big Mama Lyrics Ft. Scar Mkadinali on Doba KE.

“Big Mama” is the first collaboration between Exray Taniua and Scar Mkadinali, produced by Eyoh Clama for Black Market Records. The track promises to be a club banger that will ignite the Kenyan club scene.

Read Exray Taniua – Big Mama Lyrics Ft. Scar Mkadinali

(Black Market Records)
Oh my God bree
Taniua
Yo, Eyoh clama
Yo, sshh, aha ah

[Chorus: Exray Taniua]

Big mama, can you pum pum me
Vile unarowesa haga kampuni
Big mama, can you pum pum me
Vile unaninywes aki come for me (kako)

Big mama, can you pum pum me (kako)
Vile unarowesa haga kampuni (kako)
Big mama, can you pum pum me (kako)
Vile unaninywes aki come for me (kako)

[Verse 1: Exray Taniua]

Girl a skin girl a slippery machine
Girl a like a lotta ting, girl a queen girl a spin ah
Girl a clean, girl a fika ndani ya crib
Vile chupa mnganazi utadhani mkalasinga

Girl a mi hufanyanga loso one-man army
Si kama akina Dante hao ni 3 men army
Girl a mi hutokeanga kama mi nimejihami
Nikitokea wabling ni kama ni Tsunami

Don’ bother nilibreak up last month
Jina bado sijang’am lakini mbana nitacram
Niko na mzinga na bank, sa si ugeuke nikubang
Nikuchanganye changanye nikugueze usiburn

[Chorus: Exray Taniua]

Big mama, can you pum pum me
Vile unarowesa haga kampuni
Big mama, can you pum pum me
Vile unaninywes aki come for me (kako)

Big mama, can you pum pum me (kako)
Vile unarowesa haga kampuni (kako)
Big mama, can you pum pum me (kako)
Vile unaninywes aki come for me (kako)

[Verse 2: Scar Mkadinali]

Sura, tifi, nyuma, tifi
Lakini sidhani kama hii chuma inaweza fit in
Ako na pikin, so hii ni mboka si games
Akidondosa hio rasa inaleta fitina

Vile amenisetia thutha ni kama hii nishaikulanga
Sura ya Huddah na haga za Millicent Omanga
Na usitafute sana mrembo niko na hio charger
Bora nginyiri mabeobeo onge gi masanda

Nimetii hadi nawika mayoo
Akinitingizia hii mti nashukisha Zakayoo
Katikati ya murima ka Deputy prezzo
Mlisema nitumie akili niwachange gero

For real!

[Chorus: Exray Taniua]

Big mama, can you pum pum me
Vile unarowesa haga kampuni
Big mama, can you pum pum me
Vile unaninywes aki come for me (kako)

Big mama, can you pum pum me (kako)
Vile unarowesa haga kampuni (kako)
Big mama, can you pum pum me (kako)
Vile unaninywes aki come for me (kako)

[Verse 3: Exray Taniua]

Yaani mami umeamua kuni-torture
Yaani chapo smocha haijatosha
Na vile nimeongeza mpaka hio ruka ni stopper
Ka unaskia kitu top shota

Ambia huyo beshte yako naeza ruka pon di left
Kama hataki form zangu napenda ukikamezate
Ati ni better ntarest
Mwambie akifika kwa mlango ni apenduke tushamchange hakuna kitu nagei

Come baby ntakubembeleza
Usijali about Tracy, ye’ ashajicheza
Spaghetti Mafia, drinks bila chaser
Kama ni machupa, zote juu ya meza

[Chorus: Exray Taniua]

Big mama, can you pum pum me
Vile unarowesa haga kampuni
Big mama, can you pum pum me
Vile unaninywes aki come for me (kako)

Big mama, can you pum pum me (kako)
Vile unarowesa haga kampuni (kako)
Big mama, can you pum pum me (kako)
Vile unaninywes aki come for me (kako)

[Outro]

It’s Merry Jane, I’m still a thief
Still here commiting criminal activities
It’s Merry Jane, I’m still a thief
Still here commiting criminal activities

YouTube player
Exray Taniua, Scar Mkadinali – Big Mama

Produced by: Eyoh Clama

Directed by: Lozh


Did you enjoy Exray Taniua featuring Scar Mkadinali’s “Big Mama” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts