Lyrics > Fancy Fingers – Kudade Refix Lyrics

Fancy Fingers – Kudade Refix Lyrics

Fancy Fingers - Kudade Refix ft. Johnny Joh, Fathermoh, Ndovu Kuu, Lilmaina & Harry Craze
Kudade Song Cover

Listen and read Fancy Fingers—Kudade Refix Lyrics ft. Johnny Joh, Fathermoh, Ndovu Kuu, Lilmaina & Harry Craze on Doba Nation.

Fresh off his second album, Love Language, a now-viral video of Fancy Fingers with Harry Craze, Fathermoh, and others in the studio surfaced.

The feature-heavy song, which birthed this refix, arrived a week later to much fanfare.

Read Fancy Fingers – Kudade Refix Lyrics ft. Johnny Joh, Fathermoh, Ndovu Kuu, Lilmaina & Harry Craze

[Intro]

Yeah
Yeah yeah
Fancy Fingers
Ah

[Pre-Chorus: Fathermoh]

Anapenda penda kuzi-lick
Anapenda chicks, anapenda thigh gaps
Anapenda hizo hips sick, sexy zikiwa bam bam
Anapenda hii, anapenda that, slow but iende chap chap
Anapenda hii, anapenda that, slow but iende chap chap

[Chorus: Johnny Joh]

Ai ai, kudade, (ai), mi nadudeda
Ai ai, ninaganamwa anambanala
Ai ai, kudade, (ai), mi nadudeda
Ai ai, ninaganamwa anambanala

[Verse 1: Harry Craze]

Cheki cheki mi na we, ah, tuna-do di maths
Surrender take over joh angusha mabidhaa
Baby si ubend-over kwanza venye inafaa
Si ati nachocha mi napenda hii kifaa

Ukidigida digida pale tu kwenye machuom
Mi nasikia sikia ni kama niko mandom
Saa hii niko zone mamizinga ni za Chrome
Manzi unanibamba mahari nitachukua loan

Nakulamba tu pahali, pale sehemu flani yaani
Na utamwaga mi sijui joh ni maji gani
Nikimaliza utasema joh ni nani daddy?
Harry Craze yule boy wa mashinani

[Pre-Chorus: Fathermoh]

Anapenda penda kuzi-lick
Anapenda chicks, anapenda thigh gaps
Anapenda hizo hips sick, sexy zikiwa bam bam
Anapenda hii, anapenda that, slow but iende chap chap
Anapenda hii, anapenda that, slow but iende chap chap

[Chorus: Johnny Joh]

Ai ai, kudade, (ai), mi nadudeda
Ai ai, ninaganamwa anambanala
Ai ai, kudade, (ai), mi nadudeda
Ai ai, ninaganamwa anambanala

[Verse 2: Ndovu Kuu]

Si anapenda kuzienda 10 over 10 ni Mijikenda
Mzabibu ndo agenda figure ni nane si utapenda
Chora saba, she’s a bender, sita sita sitaenda
Nakupenda nitakupenda mara kaa tano udhani ni tender

For you nliacha mavela, for you nliacha Pamela
For you niliacha makwela, huskii niko mboka ithaa ya hela
Aah vitu ni tatu, ah si uskize msela
Kuna ndovu kuna matope, zikipatana ni nutella

[Pre-Chorus: Fathermoh]

Anapenda penda kuzi-lick
Anapenda chicks, anapenda thigh gaps
Anapenda hizo hips sick, sexy zikiwa bam bam
Anapenda hii, anapenda that, slow but iende chap chap
Anapenda hii, anapenda that, slow but iende chap chap

[Chorus: Johnny Joh]

Ai ai, kudade, (ai), mi nadudeda
Ai ai, ninaganamwa anambanala
Ai ai, kudade, (ai), mi nadudeda
Ai ai, ninaganamwa anambanala

[Verse 3: Lilmaina]

Anapenda bimmer yangu ju ya venye inakitoka
Niko hapa Kaloleni tuko mboka
Dem kamejibeba independent na ana focus
Nafikiria twende wapi, mi ndio dere stunna donga

Basi basi basi real Don Dadar, wada na wadada
Huezi nicompare na maMcee mafala
Kila flow naseti vitu deadly na si balaa
Nikitokea na kapeng wanashangaa haga ajab

Twende basi wapi? Luku nimekladi
Stunna ako na nani, hizo ni za Abunwasi
Basi nipe nafasi niko na horsepower ya farasi
Unataka twende wapi, aya anzisha safari

[Pre-Chorus: Fathermoh]

Anapenda penda kuzi-lick
Anapenda chicks, anapenda thigh gaps
Anapenda hizo hips sick, sexy zikiwa bam bam
Anapenda hii, anapenda that, slow but iende chap chap
Anapenda hii, anapenda that, slow but iende chap chap

[Chorus: Johnny Joh]

Ai ai, kudade, (ai), mi nadudeda
Ai ai, ninaganamwa anambanala
Ai ai, kudade, (ai), mi nadudeda
Ai ai, ninaganamwa anambanala

YouTube player
Kudade (Fancy Fingers Refix) – JohnnyJoh, Fathermoh, Ndovu Kuu, Lil Maina, Harry Craze

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts