Fathermoh – Gido Lyrics Ft. Joefes, Ndovu Kuu, Scar Mkadinali & Thao
Listen and read Fathermoh – Gido Lyrics Ft. Joefes, Ndovu Kuu, Scar Mkadinali & Thao on Doba KE.
In “Gido,” Fathermoh teams up with the star-studded quartet of Joefes, Ndovu Kuu, Scar, and Thao. Produced by Vic West, this party anthem is sure to get you on your feet.
“Gido” continues Fathermoh’s streak of hit songs.
Read Fathermoh – Gido Lyrics Ft. Joefes, Ndovu Kuu, Scar Mkadinali & Thao
(Black Market Records)
Yeah
Yeah, yeah
Ah, ah
Vic, twende
[Pre-Chorus: Fathermoh]
Naiganapi na right na left, natolewangwa hadi sweat
Na wife, na-set, mangosti magizee
Wagido na, sijatoa hadi vest
Mashiro, tunatandikia maleso bed
[Chorus: Fathermoh]
Naganapi gido na, dandia na usichoke
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido naipiga kama fee
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido naipiga kama fee
[Verse 1: Ndovu Kuu]
Amepiga leso na inakaa ni kitambaa
Naongezea mateso hatembei anatambaa
Vipi hauna shii utampataje nashangaa
Umekalia deposit amekalia shamba (gai)
Manzi we’ ni keki shida hutaki tu-date
Nikimcheki anasmile naanza kuspeculate
Na ikifika saa ya mechi hapendangi debate
Anaipenda akiwa juu, top G, Andrew Tate (mmh)
Wako na nyundo na hii yangu ni gifoi
Imetoka Japan, Taiwan sio mboi
Nimekuwa mtukutu tangu nikuwe mtoi
Pigwa tetanus tetanus, mpaka useme woi!
[Pre-Chorus: Fathermoh]
Naiganapi na right na left, natolewangwa hadi sweat
Na wife, na-set, mangosti magizee
Wagido na, sijatoa hadi vest
Mashiro, tunatandikia maleso bed
[Chorus: Fathermoh]
Naganapi gido na, dandia na usichoke
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido naipiga kama fee
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido naipiga kama fee
[Verse 2: Joefes]
Wagido, iko na nguvu ya paka power
Samidoh, alipata nyam ikiwa sawa
Camino, shots mbili alafu napagawa
Ikifika mechi wagido anakagawa
Alichop pale, kwa kwa kwa laini
Ka-ka alafu fikisha kwa maini
Paka, paka inataka dogi
Inataka hotdog ficha hio smokie
[Pre-Chorus: Fathermoh]
Naiganapi na right na left, natolewangwa hadi sweat
Na wife, na-set, mangosti magizee
Wagido na, sijatoa hadi vest
Mashiro, tunatandikia maleso bed
[Chorus: Fathermoh]
Naganapi gido na, dandia na usichoke
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido naipiga kama fee
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido naipiga kama fee
[Verse 3: Scar Mkadinali]
Kuna haja ya socks? na kiatu ni mupyaa
Cheki boss inanuka ama inanukia
Kuvaa kondiko ni ka kunywa chai dufya
Ni ka doberman ni kama Kanini ka-Alicia
Oh-ah, uidandie nikistedi
Ati nyama itayarishwe ama unapenda ikiwa ready
Chali yako akikuomba pesa hakupendi
Na-occupy hadi appendix
[Pre-Chorus: Fathermoh]
Naiganapi na right na left, natolewangwa hadi sweat
Na wife, na-set, mangosti magizee
Wagido na, sijatoa hadi vest
Mashiro, tunatandikia maleso bed
[Chorus: Fathermoh]
Naganapi gido na, dandia na usichoke
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido naipiga kama fee
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido naipiga kama fee
[Verse 4: Thao]
Uh, iseti juu, iseti chini
Iseti pembeni nitie ndani ma-ma
Uh, iseti juu, iseti chini
Iseti pembeni nitie ndani aii
Nilale ndani ai, nimwage ndani innit
Nikipull up unaifeel kwa maini innit
Yaani inner inner, dive deep mi na—
Chimba deep deeper, pussy cat killer
Nikishika nailima kama tinga tinga
Kama Raila Odinga, tinga tinga
Yaani come come come come come dada
Nikudigi digi, yaani gido gido
[Pre-Chorus: Fathermoh]
Naiganapi na right na left, natolewangwa hadi sweat
Na wife, na-set, mangosti magizee
Wagido na, sijatoa hadi vest
Mashiro, tunatandikia maleso bed
[Chorus: Fathermoh]
Naganapi gido na, dandia na usichoke
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido naipiga kama fee
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido na, dandia na usichoke
Gido na, gido naipiga kama fee
Produced by: Vic West
Video directed by: Lozh
Samples: “Sogea” by Ray C and “Who Am I (Sim Simma)” by Beenie Man
Record Label: Black Market Records
Did you enjoy Fathermoh featuring Joefes, Ndovu Kuu, Scar Mkadinali & Thao’s “Gido” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
