Lyrics > Iyanii – Mikono Juu Lyrics

Iyanii – Mikono Juu Lyrics

Iyanii - Mikono Juu Lyrics
[Intro]

Oooooh
Kwa majina ni Iyanii
(Tunakujua)
WakaWaka Waka!

[Chorus]

Mikono juu, mikono juu, mikono juu, mikono juu (mmh hmm)
Zibaki hapo juu, one lege, zungusha miguu (mmh hmm)
Alafu twende mbele rudi nyuma, dance kidogo zungusha kiuno
Twende mbele rudi nyuma, dance kidogo zungusha kiuno

[Verse 1]

Physically, physically fit
Madem wanawhine wako physically fit
Physically, physically fit
Ngoma zangu leo zote ziko on repeat

Have I ever see you before?
Are you here with somebody?
Sexy girl how you whine on the floor
You kill me with your body

Happy people no depression
Weka dance punguza tension
Easy moves so take the lesson
Ka ni noma kwa story mention

[Refrain]

Hii ni ingine mwecheche
Na ni mbaya ni ya kipedeje
Weka dance twende

[Chorus]

Mikono juu, mikono juu, mikono juu, mikono juu (mmh hmm)
Zibaki hapo juu, one lege, zungusha miguu (mmh hmm)
Alafu twende mbele rudi nyuma, dance kidogo zungusha kiuno
Twende mbele rudi nyuma, dance kidogo zungusha kiuno

[Verse 2]

Ni mbaya ama si mbaya? (mbaya)
Hii ni ingine fire (fire)
Ni mbaya ama si mbaya? (mbaya)
Wakitucheki wanagwaya

Wakiuliza eti mi ndio nani
Tunawajibu kwa majina ni Iyanii
Wakiuliza eti mi ndio nani
Yule msanii analeta Kenya Grammy

Kwa shingo ni nyingi mawaya
Na doba ni genje ni mbaya
Kwa mziki ni mnoma ni fire
Wasupa ni wengi wanaadmire

[Refrain]

Hii ni ingine mwecheche
Na ni mbaya ni ya kipedeje
Weka dance twende

[Chorus]

Mikono juu, mikono juu, mikono juu, mikono juu (mmh hmm)
Zibaki hapo juu, one lege, zungusha miguu (mmh hmm)
Alafu twende mbele rudi nyuma, dance kidogo zungusha kiuno
Twende mbele rudi nyuma, dance kidogo zungusha kiuno

[Post-Chorus]

Kwa shingo ni nyingi mawaya
Na doba ni genje ni mbaya
Kwa mziki ni mnoma ni fire
Wasupa ni wengi wanaadmire

[Outro]

Hii ni ingine mwecheche
Na ni mbaya ni ya kipedeje
Weka dance twende

Iyanii – Mikono Juu

Produced by: Waka Waka

Video directed by: Star The Entertainer

Similar Posts