KING KAKA – CROOZIN REMIX LYRICS

Listen and read KING KAKA – CROOZIN REMIX LYRICS on Doba KE.
Following the original version by King Kaka and Scar Mkadinali in September, the former enlists a star-studded lineup for the remix.
“Croozin Remix” features Lilmaina, Scar, Ndovu Kuu, Boutross, and King Kaka with the chorus and Scar’s verse unchanged.
The music video is shot courtesy of Kai and Karo and comes following Khalif Kairo’s highly publicized alleged car fraud scandal.
Read KING KAKA – CROOZIN REMIX LYRICS
Yeah
Aki walai
Krr krr krrrr
Big shout out to Vinc on the Beat by the way
[Pre-Chorus: King Kaka]
Sema life is a dream, tuko na ganji tuliota
Na success is a thing, back then tulisota
Kwa shingo ni mabling, na kwenye mkono ni mambota
Tukikutana kwa ma-lobby, aisee tuna gotha
[Chorus: King Kaka]
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
[Verse 1: Lilmaina]
Hii ndio maisha niliota nikiwa sixteen
Hii motivation ikanipatia ki 1-16
Na na-go hard mpaka beat napatia beating
Na ni mystery venye siku hizi niko na big team
Skia, ushaskia ushajua (ushajua)
Hadi sikunywi lakini meza nachafua
Buda ka ni ngori tunaanika tukianua
Napiga biz alafu dua ?? unanijua
Na Toyota si Crown ama ki-Lexus (ki-lexus)
Big man niki-save narowesa
Lactose intolerant na bado nataka cheddar
Si mko salty ni ka mmemeza chevda
Ati stayed on till you come up
Nilikuwa down nika-come up
Unabishana na mi, we’ newcomer
Huh, skia, si ni Stunna nanii, nipate tu Nairobi nikigotha nanii
[Chorus: King Kaka]
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
[Verse 2: Ndovu Kuu]
Tom Cruz hii ndio maisha nilichoose
Nikapatiwa the juice, ni baraka tu za juzi
Bado Pamela hunionea kwa news
Nimeskia ati ananimiss, hio Cobra inahiss
Niko na mbaibe na ni trophy
Nakulia sinia washaniita mkorofi
Maisha haitupigi tunapigiwa makofi
Naisha Kahawa saa hii maziwa iko na coffee (aki walai)
Si maringo, walai hii si maringo
Juu Mungu akikubless ye’ hukubadilishia lingo
Wadhani unaflex ukiwavunjia shingo
Waendelee kuvex waskie unajenga Vipingo (aki walai)
[Pre-Chorus: King Kaka]
Sema life is a dream, tuko na ganji tuliota
Na success is a thing, back then tulisota
Kwa shingo ni mabling, na kwenye mkono ni mambota
Tukikutana kwa ma-lobby, aisee tuna gotha
[Chorus: King Kaka]
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
[Verse 3: Scar Mkadinali]
Uh, naendesha crown toka 110
Nilidouble maganji za managerr
Madem hawanioni ka ong’err
Wakaniona wanadai ng’ani lerr
Uh, ukiwa na pesa unajicompose
Wanajua nimefika ju marashi ni ya Tom Ford
Still Gangsta, Rong Rende na iko on toes
Niko mavitu flani white toka coasto
Kwa ma-G mi ni G, kwa bitch mi ni Daddy
Dem yangu kienyeji nilimgeuza baddie
Uh, na hii dream mi si-wake up
Nalipa msupa ndio asiwai toa make up
Uh, hadi mokoro huwanga stubborn
Ati hapandi nduthi ati ye’ ni mama Scarzo
Tuko croozin na mkuzi
Mrenga pyamu, na ya zamani bado siuzi
[Pre-Chorus: King Kaka]
Sema life is a dream, tuko na ganji tuliota
Na success is a thing, back then tulisota
Kwa shingo ni mabling, na kwenye mkono ni mambota
Tukikutana kwa ma-lobby, aisee tuna gotha
[Chorus: King Kaka]
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
[Verse 4: Boutross]
Ndani ya E 40 na iko full tank
Zero zime-multiply from utat
Nacheki wakinicheki, design ya Freddie Krugger
That’s why I sleep with one eye open design ya Ruger
Extra pressure inazoza ask Suddah
Na high fashion hao mafala nawakunywa
Hadi ulaya na maboys tuna-tour
All day ones hio food tunakula
Saa hii face ya watch as in ni-match na ka ndula
Should I drip too hard usiwai come na kaunda
King akanishow kimbiza track ka sungura
Bora usi-sweat ukae umetoka kwa sauna
But it’s just too hard sijai kuwa msee wa pupa
Usione njumu clean udhani once hazijawai tupa
Zimeona dent, zimeona dust, zimeona shoot-out
Ndio maana ku crooz is a must is, a must juu
[Pre-Chorus: King Kaka]
Sema life is a dream, tuko na ganji tuliota
Na success is a thing, back then tulisota
Kwa shingo ni mabling, na kwenye mkono ni mambota
Tukikutana kwa ma-lobby, aisee tuna gotha
[Chorus: King Kaka]
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Tuko croozin nani, croozin nani
Produced by: Vinc on the Beat
Video directed by: Eyan Mwaura
Did you enjoy “CROOZIN REMIX” LYRICS? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.