Kitu Sewer – Kata Maji ka Musa Lyrics
Listen and read Kitu Sewer—Kata Maji ka Musa Lyrics on Doba KE. The song is off the Makali Man album, and its title references the Bible story of Moses parting the Red Sea with a stick.
In the song’s context, “kata maji ka Musa” means to drink alcohol.
Read Kitu Sewer – Kata Maji ka Musa Lyrics
[Intro]
Vile tu nliandika
Nafaa kubonga vile iko
Hata sijui nini inanisumbua
Kata maji watu wangu waone hio side ingine
Yeah, yeah
[Verse 1]
Uzito kwa mlima, elephant kwa hio tusk (task)
Niko kwenda viral hadi fans ilibidi wavae hizo mask
Grow lips zingine juu ya effects za dust
Crawling kwa pub ingine ka Johnnie Walker akirust
Crawling kwa mteja mwingine juu walenje inaburst
Holy water yakuacha machachani na thirst
Mi silewangi asubuhi sitaki kuharibu hio trust
Jua ni nini kwanza utaweka kwa sahani first
40 days, 40 nights itabidi nimefast
Bambwa na drunk disorderly, community serve
Rudi kudrink properly, familia imekutrust
Ladha ya property, I swear ndio their only son
Hebu sema hawata-freeze account
Pesa, pombe, siasa na wanawake thin juu ya hii lust
Hata wanawake washakuwa mathief, na hio divai
Ni ya sherehe, graduation na wedding
Hio ingine ni ya kutu-divide
Wasee wanadive deep na hawajui ku-swim
Lifeguard ako kando anawachekelea
Wakisip zile za I’m slipping, I’m falling
Beshte yangu alikunywa charmgei
Macho zika-go missing
[Chorus]
Kata maji ka Musa (go missing, charmgei—)
Watu wangu waone hio side ingine (go missing—)
Kata maji ka Musa (go missing, charmgei—)
Watu wangu waone hio side ingine (charmgei)
Kata maji ka Musa (go missing—)
Watu wangu waone hio side ingine (charmgei)
Kata maji ka Musa (go missing)
[Verse 2]
Thitima ni ka ice, sensodyne
Behind bars ndo huyo mimi naandika lines
There shall be weeping and gnashing of teeth
Hawa wasee wasipotoa lock by 6 arif
Dem wangu wa wines namuitanga witchdoctor
Juu ye hutuuzia spirits, heri wewe juu—
Hao wengine wao huhubiri maji na tunajua, hao hukunywa nini
Matumbler, mapachu na mavikombe
Hakuna chuki hapa ukileta ita-ricochet
Compee ni compee, ka si hivo si compee
Imekuwa mwezi mzima tukitafuta healer of leo
Weka simu off tuchome kamnof
Na mzinga za scotch, a toast to all malegendary
Na pia wale tulilost
Na msupa kabla huja wheez (Wiz) ka leafer (Khalifa), mpige kiss mamisus
Dismiss hao wajinga, niko na bees kwa mzinga
[Chorus]
Kata maji ka Musa (go missing, charmgei—)
Watu wangu waone hio side ingine (go missing—)
Kata maji ka Musa (go missing, charmgei—)
Watu wangu waone hio side ingine (charmgei)
Kata maji ka Musa (go missing—)
Watu wangu waone hio side ingine (charmgei)
Kata maji ka Musa (go missing, charmgei—)
Watu wangu waone hio side ingine (ingine)
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

