Lyrics > Kitu Sewer – Saa Ntado Lyrics

Kitu Sewer – Saa Ntado Lyrics

Kitu Sewer - Saa Ntado Lyrics
Saa Ntado

Listen and read Kitu Sewer – Saa Ntado Lyrics on Doba KE.

In “Saa Ntado,” Kitu Sewer narrates the story of a night escapade involving a robbery that ends in a police cell.

“Saa Ntado” is the 7th song on the Makali Man album.

Read Kitu Sewer – Saa Ntado Lyrics

[Verse 1]

Tuko kidale tunatafuta form
Si ndo hao na arif yangu Mike
Ashaniunganisha na mamorio wamekam na kirai
Imetoka giz giz mboka Nai

Na inatrace-iwa na simesei
Kuskiza Mike toka backseat
Hikio ni kinini? “ah kwani dere amejipin?”
Mike ako zile za “Cheza chini, usilete hizo vipindi”

Dere ako zile za “ambia beshte yako asiongee tena”
Ama tumshone tumtume rowe
Kidogo kidogo pull up, pull up kwa chochee
Sema co-driver tubondee tuunde space

Kumbe tunacollect racho flani anaitwa Kosh
Kwenye rampage esto ya mabombee usione
Ingia kwa entrance nishaspot ile ndai posh
Nikaguess either ni ya lawyer

Au yule msee alipiga jackpot juzi Sportpesa
Usione tots kadhaa na shosh ashaanza kuwa slay
Kosh ako back manyu na jeshi ya washwash wakipiga mahesabu
Meanwhile kuna wasee wamepigilia ka sanse

Na madoci, back manyu wanaokota doh
Lawyer alishauza ng’ondo, ju ulimi hainanga bone
Alimangwa doh ya alimony na huyo poko
Ju walikuwa wamebone na ye’

Back to the story, sema watu kurushwa matonje nini nini
Tuliambia dere asionje saa, nini nini
Yule vaite wa machete alisundua akakata msee
Damu ikatoka ka jet, floor yote ishakuwa red carpet

No VIP, kila mtu miguu niokoe
Mikey ashaanza kuniambia ni ka anasweat
Nishamshow hujasweat umegongwa
Mi na-play dead

[Bridge]

Na-inhale peace, exhale pressure
Ju zile vitu mi hupitia zo hunilewesha
So nimeamua pesa ndo itakuwa chaser
Saa ntado, saa ntado?

Na-inhale peace, exhale pressure
Ju zile vitu mi hupitia zo hunilewesha
So nimeamua pesa ndo itakuwa chaser
Saa ntado, saa ntado?

[Verse 2]

Sanse wamekam joh
Wamekutana na wale wasee wa ndai
Guess nini ilifanyika? Nani alibaki hai?
Kati ya mtu sita mi na Mike na yule dem wa kuchai

Tuko behind bars kwa room flani ya evidence
Imagine tuko mang’ango, ma ilicit, tuko high
Tukiwaza tutatoka au tutatingwa for life
Nditni na mating ting, Mike over bleeding

Mi na Kosh, tumekula maviding hazijuani
Na tunatry joh kujiokota hauskii inadim
Wale mapimp wa Kosh, walisha manyuria
Ye mwenyewe analimp joh, si tunasink

Kimaajabu afande alikam kutushow joh
Kuna msee amekam kuwatembelea
Kumbe ni yule lawyer
Na mdenge flani ameng’ara pink akatushow

“You should know people.”
Gai, lawyer si ana link

YouTube player
Kitu Sewer – Saa Ntado

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts