Kitu Sewer – Zikikam Lyrics
Listen and read Kitu Sewer – Zikikam Lyrics on Doba KE. “Zikikam” is the third song from the Makali Man album.
Read Kitu Sewer – Zikikam Lyrics
[Intro]
Nonsense
Ati jana tulikuwa tumelewa sana
Unakumbuka vile tuliachana
Peleka ufala na huko
[Chorus]
Zikikuja zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivo angalia ni nani unaroll nao
Zikikam zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivo angalia ni nani umeroll nao
[Verse 1]
Zikishuka itupate tao, hii hainanga hata mbio
Hatukunywi juu ya huzuni tunalewa mafanikio
Kwenye ma-caviar, ma-Christian Dior
Sherehe zimekick ni ka Ballon d’Or
Shine ka VR, acha hata kuchoma ume-burn PR
Kesho yake kuamkia it’s all coming back to me
Celine Dion, slap huyo mtiaj’
Unaeza sema ni Pirates of the Caribbean
Na wamecarry ma beer
Mtu si agotee huyo captain na macheers
Big ship sailing haitaki mahasira
Au mtu yoyote anaweza kutuharibia
Nimekuja kuskia, sio kutulilia
Tumekuja kuwaimbia, sio kuwaibia
Mi ka makaliman, juu life pia ni hard
Nataka piece ya land hio side ya Diani
Ndo nimeboard SGR na submarine huh
Inakaa Nadia
Na wanyama wote on board ni ka safina
Ni party huwezi crash
Ka Titanic wasee watashindwa hii ni mawe gani
Hao huniita Nautilus vile si hukata maji
Zikikuja zimekam na hazinanga reverse
(Hao huniita Nautilus vile si hukata maji
Zikikuja zimekam na hazinanga reverse)
[Chorus]
Zikikuja zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivo angalia ni nani unaroll nao
Zikikam zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivo angalia ni nani umeroll nao
Zikikuja zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivo angalia ni nani unaroll nao
Zikikam zimekam, hakuna ku-escape
Kwa hivo angalia ni nani umeroll nao
[Verse 2]
Zikaflash, enda high ka rocket
Onea dunia kwa sky usiogope
Kwenye planet, na moon shuka pole pole
Ukiturn left na right hio parachute
Kabla ujue, umeland kwa the same avenue
Imeanza tena, uko kwenye marathon
Taki (Turkey), ishafanya wasee wa-go kuku
Ni ka wako madudu
Cheki msee wangu hio steam hatuiabudu
Usiworry kuhusu luku cherokee muda ukiruhusu
Tubeless unatry jo kutubu
Kuna swimo mpya ka wewe ni wa vuvuk
Hauwezi kam na Kung fu, goya ndeng’a
Si tunaendelea kuivia ndani ya hii desert
Na ni 12 noon kitu chweza
Wana-look good lakini hawafit kwa weather
Usipende kuona nini wanaweza pull up kwa hizo masweater
Big up jeshi yangu ya Sierra
Iza joh sikukam marieba
Nilikuwa na bizna ingine ya ng’ondo mamtiecha
Iza joh sikukam marieba
Nilikuwa na bizna ingine ya ng’ondo mamtiecha
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
