Kristoff MWB – Asubuhi Na Mapema Lyrics Ft. Trio Mio
Listen and read Kristoff MWB – Asubuhi Na Mapema Lyrics Ft. Trio Mio on Doba KE.
Marking his second release of 2024 following “Flowers” in March, Kristoff MWB teams up with Trio Mio for yet another club banger.
Read Kristoff MWB – Asubuhi Na Mapema Lyrics Ft. Trio Mio
Mluhya wa Bu Bu—
CMG
Uuuh, huh
Leon Vibes on the track
Kingpheezle on the Beat
[Verse 1: Kristoff MWB, Trio Mio]
King wa mabanger nimerudi na ubaya
Nimerudi na zawadi toka pande za ulaya
Walidhani nime-retire kumbe mi ndo wana-require
Mi naleta vitu fire kwa hii business (eh yah)
Asubuhi na mapema zimeshika
Ntoe lock nimetema tu ma-litre
Wajakoyah Wajakoyah jaza rizzla
Usinyonge tuma text taja sister
Siku njema huonekana after giza
Nikitema nawateka na mirista
Pararira early morning keep a distance
Kama ibaada nikiamka ni mambichwa
[Chorus: Kristoff MWB]
Mi uwashanga ngwai, asubuhi na mapema, eh (asubuhi na mapema)
Napokea salary, asubuhi na mapema, eh (asubuhi na mapema)
Ndani ya bar niko tayari, asubuhi na mapema, eh (asubuhi na mapema)
Nachapa dame anazirai, asubuhi na mapema (asubuhi na mapema)
[Post-Chorus: Trio Mio]
Wanalalisha tuki-rise tuko on (asubuhi na mapema)
Tuko on! (asubuhi na mapema)
Changamka changamka, tuko on (asubuhi na mapema)
Tuko on! (asubuhi na mapema)
[Verse 2: Kristoff MWB]
Early bird kwa streets, ndo huwanga tu my norm
Juu ndege za asubuhi, ndio huangukianga ma worm
Nyege za asubuhi ni za mtoto ananikeep warm
Niko na ngede wa asubuhi, lunchtime mpaka jioni
No time to waste, ni go-time
So nta-spend more time US na bow tie
Kwa event na ma boss sawa
Wanatambua Kristoff sana boss sawa (sawaa)
Wahenga wa siku hizi wanaleweshwa na Best
Baridi inampiga na amedunga ka-vest
Miti imemshika anajifeel the best
Na advice za ujinga anatry kutu-impress
[Chorus: Kristoff MWB]
Mi uwashanga ngwai, asubuhi na mapema, eh (asubuhi na mapema)
Napokea salary, asubuhi na mapema, eh (asubuhi na mapema)
Ndani ya bar niko tayari, asubuhi na mapema, eh (asubuhi na mapema)
Nachapa dame anazirai, asubuhi na mapema (asubuhi na mapema)
[Post-Chorus: Trio Mio]
Wanalalisha tuki-rise tuko on (asubuhi na mapema)
Tuko on! (asubuhi na mapema)
Changamka changamka, tuko on (asubuhi na mapema)
Tuko on! (asubuhi na mapema)
[Verse 3: Trio Mio]
Juzi nimefukuza ngeus asubuhi na mapema
Nilikakula na nawish ningeeza tema
Nilikateka na lighting ya pale bukla
Unafika kwa nyumba dem anafanana Chaka Demus
Mapema ndo best, asubuhi ina kismat
Kabla umeditate, washa mali fisa
Ikuondolee mapepo na swara zimekuzingra
Stick ya ngware simba ni imara utanyora Pilsner
Fixture, mechi ni early kick-off
Morning glory scripture, Father Benedicto
Misa ni ya kwanza wamtume Trio kwa tiplo
Asubuhi mapema dem yako anagongwa ndipo
[Chorus: Kristoff MWB]
Mi uwashanga ngwai, asubuhi na mapema, eh (asubuhi na mapema)
Napokea salary, asubuhi na mapema, eh (asubuhi na mapema)
Ndani ya bar niko tayari, asubuhi na mapema, eh (asubuhi na mapema)
Nachapa dame ana zirai, asubuhi na mapema (asubuhi na mapema)
[Post-Chorus: Trio Mio]
Wanalalisha tuki-rise tuko on (asubuhi na mapema)
Tuko on! (asubuhi na mapema)
Changamka changamka, tuko on (asubuhi na mapema)
Tuko on! (asubuhi na mapema)
[Outro]
Badder badder mi ndo huwa Don Dada
Niko rada juice huwa ni ya jaba
Washa shada natoa form come baba
Na madada mi huchora ka saba
Mi huwashanga ngwai
Stream music
Produced by: Leon Vibes x Kingpheezle
Video directed by: Lynke Jr
Did you enjoy Kristoff MWB featuring Trio Mio’s “Asubuhi Na Mapema” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.