Lilmaina – Cocoa Butter Lyrics Ft. Danski
Listen and read Lilmaina – Cocoa Butter Lyrics Ft. Danski on Doba KE.
“Cocoa Butter” is the second song on Lilmaina’s debut album, Maisha Ya Stunna. It features Watoto Wakorofi label signee Danski.
Read Lilmaina – Cocoa Butter Lyrics Ft. Danski
Huh, huh
Stunna
Stunna
Skia, skia
Uh
[Chorus: Lilmaina]
Na niko ndani ya bukla nikimedi na mashada
Jaribu ujinga ni mabare utapata
Viatu tumepiga ni maClarks za kwa Bata
Warembo wote wananukia cocoa bu—
Basi, rusha mikono ka unaona uko tipsy
Rusha mikono kama maisha iko fiti
Rusha mikono kuja basi twende hivi
Sijalala siku tano naona kama nitachizi
[Verse 1: Danski, Lilmaina]
Hata nikikosa leo ntakupata
Kama kuna ngori itakuwa disaster
Siku mingi joh baby nmekudata
Wacha kusitasita baby come hapa
Kama unanifeel (feel), wachana na me (me)
I’m honestly just a humble rapper
Na huku wanatii (tii), Maina ni nabii (bii)
Niliwashow, hii ngoma itawangwata
[Chorus: Lilmaina]
Na niko ndani ya bukla nikimedi na mashada
Jaribu ujinga ni mabare utapata
Viatu tumepiga ni maClarks za kwa Bata
Warembo wote wananukia cocoa bu—
Basi, rusha mikono ka unaona uko tipsy
Rusha mikono kama maisha iko fiti
Rusha mikono kuja basi twende hivi
Sijalala siku tano naona kama nitachizi
[Verse 2: Lilmaina, Danski]
Excuse me, I mean empress samahani
We’ ni Safaricom juu ya venye hupatikani
Na macho yako nzuri unafanya natamani
Rafiki zangu wanashindwa rada gani
Basi, nipate Karen saa zingine Villa Rosa
Na kila unapoenda utafuatwa na masoldier
Kichwa inauma basi meza sona moja
Na venye unanitesa lakini bado nitangoja
Nimefunga dedi manze hunitaki
Na kama ni makosa basi we utanishtaki
Ningetaka twende Shanzu au Diani
Na unataka lightskin funny mi ni mlami
[Chorus: Lilmaina]
Na niko ndani ya bukla nikimedi na mashada
Jaribu ujinga ni mabare utapata
Viatu tumepiga ni maClarks za kwa Bata
Warembo wote wananukia cocoa bu—
Basi, rusha mikono ka unaona uko tipsy
Rusha mikono kama maisha iko fiti
Rusha mikono kuja basi twende hivi
Sijalala siku tano naona kama nitachizi
[Outro]
Danski
Maina
Stunna
Hapatikani
Rada gani
Cocoa butter
Produced by: Afamefuna & Supadrum
Video directed by: HERI
Did you enjoy Lilmaina featuring Danski’s “Cocoa Butter” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
