Lyrics > Wangechi – Zile Zile Lyrics

Wangechi – Zile Zile Lyrics

Wangechi - Zile Zile Lyrics

Listen and read Wangechi – Zile Zile Lyrics on Doba KE. “Zile Zile” is the fourth track of her sophomore album, Emotional Gangster, following her comeback in 2022.

Moreover, she gave the song a visual treatment to celebrate her birthday. Read the full story here.

Read Wangechi – Zile Zile Lyrics

[Intro]

Na hii ni, zile zile
Na hii ni (uh), zile zile
Na hii ni (yeah), zile zile
Na hii ni (yeah), zile zile
Cheki

[Chorus]

Na hii ni na hii ni, zile zile ngwai mi huwai
Hii ni zile zile pedi ana-hype
Hii ni zile zinashika kwa umbali
Na hii zile ma-funds zitakubali

Na hii ni, zile zile ngwai mi huwai
Hii ni zile zile pedi ana-hype
Hii ni zile zinashika kwa umbali
Na hii zile ma-funds zitakubali

[Verse 1]

Hizi ni zile zenye hazikai kama zao
Toka zamani si huzungushanga mazao
Fanya mzing azime ajipate ako zion
Wananizoom wachunguze mzigo is how

Ka si legit bruh kaa na biz
Ndani ya zip bag cannabis
Utaona ma zigzag utanimiss
Makali mzinga Zappa zii

[Refrain]

Zinaingia na giz’ mchana hatufanyi kaz’
Wanaulizia Gish zama wasipate chance
Zaidi ya muzik zunguka fanya research
Ilibidi nizidi walianza kucheza na cash

[Chorus]

Na hii ni, zile zile ngwai mi huwai (yeah, yeah)
Hii ni zile zile pedi ana-hype (yeah, yeah)
Hii ni zile zinashika kwa umbali
Na hii zile ma-funds zitakubali

Na hii ni, zile zile ngwai mi huwai (zile, zile)
Hii ni zile zile pedi ana-hype (yeah, yeah)
Hii ni zile zinashika kwa umbali (yeah)
Na hii zile ma-funds zitakubali

[Verse 2]

Huwezi nipata zii, nitabaki kuwa your fantasy
Mtoto mdogo ananikatia katia, kata tenje buda kata sim’
Funny nigga ushakuwa Churchill, huna heshima huna courtesy
Hakuna kitu nimepata free, kila kitu nimepata fee

Ni ngumu nisote, nakinda zile ziko potent
Hizi ndio zile hufanya Embarambamba ajitupe kwa matope
Na usichoche, chunga usije kuwa content
Tukirecord tu-post it, hio roho mbaya itoke

[Refrain]

Zinaingia na giz’ mchana hatufanyi kaz’
Wanaulizia Gish zama wasipate chance
Zaidi ya muzik zunguka fanya research
Ilibidi nizidi walianza kucheza na cash

[Chorus]

Na hii ni, zile zile ngwai mi huwai (yeah, yeah)
Hii ni zile zile pedi ana-hype (yeah, yeah)
Hii ni zile zinashika kwa umbali
Na hii zile ma-funds zitakubali

Na hii ni, zile zile ngwai mi huwai (zile, zile)
Hii ni zile zile pedi ana-hype (zile, zile)
Hii ni zile zinashika kwa umbali (zile, zile)
Na hii zile ma-funds zitakubali

Wangechi – Zile Zile

Produced by: Bckgrnd

Video directed by: Natasha Ayoo


Did you enjoy Wangechi’s “Zile Zile” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts