LILMAINA – NAKAM SAI LYRICS X SOSATHEPRODIGY
Listen and read LILMAINA – NAKAM SAI LYRICS X SOSATHEPRODIGY on Doba KE. Taken from the Dutty Money Riddim by Rvssian, Lilmaina, and SosaTheProdigy, hop on the beat in true Stunna fashion.
According to the song’s YouTube description, “Nakam Sai” is a prelude to Watoto Wakorofi’s mixtape.
WATOTOWAKOROFI MIXTAPE SOON COME
Watoto Wakorofi is Lilmaina’s label, and its roster includes Danski, YBW Smith, SosaTheProdigy, and Lilmaina himself.
The song reached 1 Million views on YouTube on 14th April 2024. Read 10 Songs Sampled by Your Favorite Kenyan Arbantone Artists.
Read LILMAINA – NAKAM SAI LYRICS X SOSATHEPRODIGY
Krrr Krrr Krrrr
Ha ha ha
Don’t mind me
Krrr Krrr Krrr
Watoto Wakorofi
Stunna, ah
Skia skia
[Chorus: Lilmaina]
Ati don’t mind me (kwa nini)
Niko club na mapeng wanataka kunitrace
Usitense mi nakam sai (sai)
Ngata inadie, na tenje inadie
Lakini ustoke mi ntakam sai
Na sina ID
Na bouncer akiuliza we’ mshow mi ntakam sai
Ati, nita nita nita nita
Ati ati ati don’t mind me (kwa nini)
Niko club na mapeng wanataka kunitrace
Usitense mi nakam sai (sai)
Ngata inadie, na tenje inadie
Lakini ustoke mi ntakam sai
Na sina ID
Na bouncer akiuliza we’ mshow mi ntakam sai
Nita nita nita nita nita nita, nitakam sai
[Verse 1: Lilmaina]
Colorblind but this year naingia COLORS
Na between school na career ni kubalance
Coz I’m the big man (ha), with the big swag
Ningekuwa ndula ningeitwa New Balance
Between life ama school hii career
Bitch I made like 4M ngoja sasa this year
Niliomba sauti yangu ikuwe salary ya Engineer
Stunna big dog (woof), nikibark wanaskia
Approach without caution kama silencer
Hakuna dem huku nje siezi manage ah
Na wanaanza kuniita ati calliber
Shots zangu zote huwa loaded niko ndani bruv
Big facts nigga, ma-zigzag nigga
Mradi zangu kwote kwote hautawai nyita
Niko kwa ndege kitu nabeat ni timelapse na jetlag
So I don’t give a fuck nigga
[Chorus: Lilmaina]
Ati ati ati don’t mind me (kwa nini)
Niko club na mapeng wanataka kunitrace
Usitense mi nakam sai (sai)
Ngata inadie, na tenje inadie
Lakini ustoke mi ntakam sai
Na sina ID
Na bouncer akiuliza we’ mshow nitakam sai
Nita nita nita nita nita nita, nitakam sai
[Verse 2: SosaTheProdigy]
Huku form joh ni mukuchu, ching ching
Mimi na Jere tuko juu ya mabling bling
Doba zetu mbaya si ndo real deal
Zenu bana ziko chini, si ndo ma Kingpin
Chuma ilale ndani ka ina-fit in
Mamaa hunipa ganji hio naita ping pin
Konyolo cup bana, we drinking
Nimefunga kilemba kama sing sing
But unabanja sana kuna venye unanipiss ka mkojo
Power Puff girl, mi ndo Mojo Jojo
Venye hizi goshodo nazifikisha kwa lojoo
Angalau kam kam form naitwa Collo
Niko na magoon Embakasi tukithigitha mitambo
Hio haga nadandia kama donda na mlango
Jaba na mix ni za doba za kitambo
Ukibeef kamagera njichi utafumble
[Chorus: Lilmaina]
Ati don’t mind me (kwa nini)
Niko club na mapeng wanataka kunitrace
Usitense mi nakam sai (sai)
Ngata inadie, na tenje inadie
Lakini ustoke mi ntakam sai
Na sina ID
Na bouncer akiuliza we’ mshow nitakam sai
Nita nita nita nita nita nita, nitakam sai
Sample: Dutty Money Riddim by Rvssian
Did you enjoy LILMAINA AND SOSATHEPRODIGY’S NAKAM SAI LYRICS? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

