Lilmaina – Tetemesha Lyrics
Stunna man
Krrrrrr
Stunna man, man, man
Aiyaiyaiya
So Fresh is on the beat
Skia
[Verse 1]
Na nitaanza nikidrop verse kisha
Nitishe wale wote walidai kunitisha, skiza
Bass ikibounce kwa hii speaker
Ni sawa nitakimbiza, ati we ndio taa ona sasa nikikuzima
Bars zangu verified, wapoa nao verified
Step inna di place luku yangu bado very nice
Handsome, wealthy, baby can you tell me
Design wanidai nikiona ni unhealthy
Clean up ka Popcaan wash ndani ya Omo
Kwa bash niko on na ki-gat kwa mdomo
Anasema ananihata analia ako na FOMO
Mi nafikiria venye nitaenda global
Na mara mingi nimechill naeza pia expire
Ni wangapi nje nimeinspire
Wanavaa ka mi, wanarap ka mi
Back to my ways hapa na…….
[Chorus]
Juu kila baze nikiland wanarada
Na niko on kama ka kama kawa
Na ninatetetemesha natetetemesha
Natetetemesha, natetetemesha
Kila baze nikiland wanarada
Na niko on kama ka kama kawa
Na ninatetetemesha natetetemesha
Natetetemesha, natetetemesha
[Verse 2]
Naeza tell she ain’t shy but with her I just might
Hebu kwanza ngoja sipendi ukiwaste time
Pretty girl basi whine, show me you deserve it
Get you what you want ka ni card let you have it
This is a disaster I don’t know what to do
Ni wapoa wawili hapa mchezo iko juu
Si ni risky ukiplay na mi, wanadai
Crime Stunna na nina pikin, I’m confused
Having rich people problems, gari ni wrap gani
Sa nilipe wote hizo shida nahitaji
Kwanza I want real questions zako ni rhetoric
I’m the full package kwani ni nini we huoni?
Na wengi ni ma-phony, they claim they don’t know me
Saa hizo jina yangu imepop kama molly
Hakuna sarakasi nikisema nitatenda
Sa nichukue jaba ama ki-vuvuzela
[Chorus]
Juu kila baze nikiland wanarada
Na niko on kama ka kama kawa
Na ninatetetemesha natetetemesha
Natetetemesha, natetetemesha
Kila baze nikiland wanarada
Na niko on kama ka kama kawa
Na ninatetetemesha natetetemesha
Natetetemesha, natetetemesha
