Lyrics > Lowki the Great – Finesse Lyrics

Lowki the Great – Finesse Lyrics

Lowki the Great - Finesse Lyrics
Finesse

Listen and read Lowki the Great – Finesse Lyrics on Doba KE.

“Finesse” is a laid-back chill jam in which Lowki the Great talks about his steady rise and sends subtle shots to anyone who would be tempted to spoil his mood.

Read Lowki the Great – Finesse Lyrics

Mi niko (mi niko)
Usiniharibie mood

[Verse 1]

Nasonga na pace yangu sina need for speed
Hii ni therapy ya bure nawagive for free
Dream zangu bigi sishtuki na simple things
Ilianza kijokes tu but the shit got real

Nikiwa booth my intention ziko crystal clear
Vitu nado watazisoma kwa historia
Nina mob kichwani ata sineed kofia
Ni legacy mi najenga na italive for years

Si lazma nidunge tie ndio nimake dollar sign
Foota sikuanga fine but nani ndio baller sahii
Namove kama lion so lazma nikue na pride
Nimemarry game I’m ready to kiss the bride

Every day a lesson na sijai hata miss class
Industry inachange mi nawatch from a distance
Si huwasha matrees utadhani ni Christmas
Shawty wanna roll with a big man

[Chorus]

Mi niko best, mi niko good
Usinitest usiniharibie mood
Usinitext na mastory za udo
Na siezi rest hadi mi nifike juu
Ka unaniget uh, mikono juu
Lazma niset ndio nijiweke kwa mood
Shawty ni peng analike vile namove
Bado na finesse, bado mi nacome through

[Verse 2]

Buda usinitest mi si vegan ka ni beef wanaleta hakuna piece nabakisha, uh
Ka unabonga biz mi naskiza, nina streams kama river, so at least naeza ringa, uh
Bado tu naclimb sijafika, nasurvive bila features, kuna time tu itajipa, uh
Na bado tunaslide with my niggas, kujinice na ma G bag na kufry tu maliver

Cheza na mi and watch the mandem pull up
Mi si Konshens but napea magaldem sugar
Life ilichange napiga jam sesh Runda
Lazma unitrace huwezi ni access buda

Kwangu ni clean, so unaeza fagia kwako
Leo nmejipin naeza jiwashia tano
Lowki ni king hapa ni chess hakuna bano
Chasing my dreams lakini wajue bado

[Chorus]

Mi niko best, mi niko good
Usinitest usiniharibie mood
Usinitext na mastory za udo
Na siezi rest hadi mi nifike juu
Ka unaniget uh, mikono juu
Lazma niset ndio nijiweke kwa mood
Shawty ni peng analike vile namove
Bado na finesse, bado mi nacome through

YouTube player
Lowki the Great – Finesse

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts