Lyrics > Maandy – Anapiga Pic (Remix) Lyrics ft. YBW Smith & Breeder LW

Maandy – Anapiga Pic (Remix) Lyrics ft. YBW Smith & Breeder LW

Maandy - Anapiga Pic Remix ft. YBW Smith & Breeder LW
Anapiga Pic Song Cover

Listen and read Maandy – Anapiga Pic Remix Lyrics ft. YBW Smith & Breeder LW on Doba KE.

On the remix, the trio (Maandy, YBW Smith, and Breeder LW) link up over the “Katana Riddim” instrumental, breathing more life into the original song.

Read Maandy – Anapiga Pic (Remix) Lyrics ft. YBW Smith & Breeder LW

[Intro]

Ay ay
Tano Nane
Skia

Legs to the sky tuwachane kwa nini?
(REMIIIX)
Doba ka inaweza, pull pull up selekta
Eyo Metro Suka Doba

[Chorus: YBW Smith]

Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza
Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire
Joh dance kwa hii tune nikiroga beat so
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza
Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire
Joh dance kwa hii tune nikiroga beat so
Manze hepa si watu wanabreak up

[Verse 1: Maandy]

Mi napiga pic juu ya bed namtumia speedy speedy
Last seen alificha ni kwa nini?
Anajua baby wake huwa chizi
Ni chini ya maji mi humficha kama siri, yeah

Ukitema taxin come hivi
Nguna ka mimi sipigangwi na baridi
Soko nikirudi nishatoka by jioni
So ukisleki guaranteed hunioni, ah

Ukitaka mi nabend down receive it
Legs to the sky tuwachane kwa nini?
Ye huniita mamaa sneaky linky
Can cheat can die, mi ni wako, amini

Ukitaka mi nabend down receive it
Legs to the sky tuwachane kwa nini?
Ye huniita mamaa sneaky linky
Can cheat can die, mi ni wako, amini

[Chorus: YBW Smith]

Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza
Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire
Joh dance kwa hii tune nikiroga beat so
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza
Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire
Joh dance kwa hii tune nikiroga beat so
Manze hepa si watu wanabreak up

[Verse 2: YBW Smith]

Yoh manze hepa si watu wanabreak up
Uh, cheki mamaas naskia tifi
Ukiwa nditni zishike ukose usingizi
Buruburu ni ku-gwethelize na wazing ting

Mratish na mangeus joh ni party, joh
On a Monday nipate jaba na mashash
Twende Tuesday nipate na ule matha tukidance
Fika Wednesday niki-roll tu mashash

Thursday nipate party na Friday kazoze
Si uongo tulipatana soko, amecome juu ya mangoto, anadai ye’ ni poko
Na bado siamini amekuja na maWhiskey, anadai tuende missing
Tuende Eastleigh mzee Ali cash money

Nipate na kimale niwadungie mali safi
Na ghetto ka ni bani unabakishwa na shati
Ni number nane nipate base Tano Nane
12 O’clock ju ya senke

[Chorus: YBW Smith]

Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza
Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire
Joh dance kwa hii tune nikiroga beat so
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza
Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire
Joh dance kwa hii tune nikiroga beat so
Manze hepa si watu wanabreak up

[Verse 3: Breeder LW]

Anapiga pic ndani ya nyumba na, bado si anatesa
Ka hubanjanga sana mi hukaitanga Alexa
Wairimu wa Kiambu, na anapenda pesa
Nda-ndani ya baesa, na gin juu ya meza

Doba ka inaweza pu-pull up selekta
Big baba nina wasupa ka saba na huko Daystar
Ni-nilifanya wote wakarudie semester
Badala waende lecture wako kwangu nawasesa

Tingisha zungusha kama kibuyu ya supu
Haga inaeza vunja hadi ratili ikipimwa
Msupa hunichizisha ni ka stoner juu ya nduku
Kwanza we ni keki na hizo picha hazina filter

Nina morale, sister si usare
Nina morale, wacha katambe
Nina morale usinihande
Nina morale, wacha katambe

[Chorus: YBW Smith]

Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza
Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire
Joh dance kwa hii tune nikiroga beat so
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza
Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire
Joh dance kwa hii tune nikiroga beat so
Manze hepa si watu wanabreak up

MAANDY X YBW SMITH X BREEDER LW – ANAPIGA PIC REMIX

Audio by: Metro Suka Doba

Video directed by: Lynke Jr


Did you enjoy Maandy featuring YBW Smith & Breeder LW’s “Anapiga Pic (Remix)” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts