Maandy – Do You Copy Lyrics

Listen and read Maandy – Do You Copy Lyrics on Doba KE.
In the latest release of her highly successful year, Maandy maintains her signature flow and cadence while boasting about her triumphs and confronting her critics. “Do You Copy” follows the October release of “Game Ni 90.”
Read Maandy – Do You Copy Lyrics
Ah, Kabaya
Eyo Metro suka doba
[Verse 1]
Cheki man, hii ndio ngoma unaskiza kama uko na doh kwa bank
Madem wanasema Kabaya leta another one
Magwangi wakishikisha wakiwa zabe wakiburn
Tisho ni ya white, down nichi Timberland
Ambia huyo mbleina ajifiche nimeland
Mirista zinatoka kama bullet ndani ya gun
Wacha kuniita newbie, ah, mi ni veteran
Doba ka inabamba, we ras give dem a run
Ah, ah, tuma squench faster,
All black regalia Ni Kabaya Mafia,
Toto Big Machine, wao huniita Scania
Hii ni foreign mi hutoa huko Yugoslavia
Always skincare mamoshi ongeza solea
Bado mashida niko nazo nahesabu ka mia
Kidu naendanga ta choma na beer
Kama biz ni ya mamita usiogope come here
[Chorus]
Index one naficha paper hawaezi copy
Hii ni ya jeshi, hii ni geri, hii ni ya mbogi
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
Nina magaldem, na all of them naughty
Uko na ganji uko na doh, we’ ni bossy
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
[Verse 2]
Presidential address kwa walkie talkie (over, over)
Ufuate rive hii ni flow huwezi copy
Hate Kabaya ndio mafala wakunotice
Uko relevant naeza kufanya famous through osmosis
Mi hu– nikitaka, huezi nipata nikilalisha
Mimi maganji nilishapata sionekani — giza
Niko hapa nasafisha, generali niliapishwa
Tuko maji, ?? shingo hebu salute nikipita
Depo mi sitaki, full price saa hii
Niliwashow mi ni mnoma wakajifanya hawaskii
Producer ni mjamo nikidai another hit
Na kabla mi nimade ni Metro amesuka hii
Metro Suka Doba
[Chorus]
Index one naficha paper hawaezi copy
Hii ni ya jeshi, hii ni geri, hii ni ya mbogi
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
Nina magaldem, na all of them naughty
Uko na ganji uko na doh, we’ ni bossy
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
[Verse 3]
Kwanza usiconfuse intro na verse
Cheki mrenga iko parking iliseti na reverse
Watakuweka visu if you show them your back
?? solid, si mi ?? asijifiche ndani ya grass
Cheki morio ukikiwasha si ukipass
Bado Sir Jah hutubless hata ka hatuendi mass
Ndio niwai vuta tenje in advance
Biz nafanya huezi funzwa na uelewe ndani ya class
[Refrain]
Bado streets tunalia MUST GO
Nikibuy mi hugawa na the bro
Mi huzima doba zako ziunibore
Unanitambua, sema awooh!
[Chorus]
Index one naficha paper hawaezi copy
Hii ni ya jeshi, hii ni geri, hii ni ya mbogi
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
Nina magaldem, na all of them naughty
Uko na ganji uko na doh, we’ ni bossy
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
Do you copy? (eh) Do you copy? (eh)
[Outro]
Do you copy?
Do you copy?
Bank, One, Burn, Timberland
Nimeland, ndani ya gun, veteran
Give them a run
Eyo Metro suka doba
Produced by: Metro Suka Doba
Video Directed by: Mighty Trevon
Did you enjoy Maandy’s “Do You Copy” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.