Maandy – Game Ni 90 Lyrics
Listen and read Maandy – Game Ni 90 Lyrics on Doba KE.
“Game ni 90” is a common football term used to tell someone that things aren’t over yet, taken from the 90-minute duration of a football game.
The song follows “Bad Gyal,” which was released in September.
Read Maandy – Game Ni 90 Lyrics
[Intro]
Kabaya
Eyo Metro suka doba
[Chorus]
Huna ganji labda chwani, shida ni gani?
Game ni 90
Yule manzi ako na chali, na unamdai
Game ni 90
Leo ni Friday kuna party, na uko kazi
Game ni 90
Ndio huyo landi huna rent, utalala wapi?
Game ni 90
[Post-Chorus]
Game ni nini? Game ni 90
Game ni nini? Game ni 90
Game ni nini? Game ni 90
Game ni nini? Game ni 90
[Verse 1]
Sijai kalia bench, mi ni Kabaya
Cheki jezi number, ni kumi ama saba
Nakuwanga Roro na Messi, combine dat
Opponent namkimbiza kama Labrat
Piga kifua, vuruga uwanja
Skill ni sure, nimejipanga
Mi napenda mukuchu, usibonge sana
Game ni 90, nangoja mkwanja
Attention, attention
Hii ni greatness huhitaji medal
Attention, attention
Skuma bail bana, leo silali central
[Chorus]
Huna ganji labda chwani, shida ni gani?
Game ni 90
Yule manzi ako na chali, na unamdai
Game ni 90
Leo ni Friday kuna party, na uko kazi
Game ni 90
Ndio huyo landi huna rent, utalala wapi?
Game ni 90
[Post-Chorus]
Game ni nini? Game ni 90
Game ni nini? Game ni 90
Game ni nini? Game ni 90
Game ni nini? Game ni 90
[Verse 2]
We’ cheza na githaa, tuko mboka unazubaa
One time kwa mahustler wote, kila mtaa
Rongaa, Ungwaro, Eastlando, Kasa
Unajitambua manze umetoka far
Na ganji ikiland, pewa kwa bar
Choma kilo mbili firifiri ni a-far
Tuma location, mbogi inaland
Hii ni pure niceness, warembo kadhaa
Attention, attention
Volume iongezwe tu kiasi
Attention, attention
We’ zitoke tu, ya kesho ni kesi
[Chorus]
Huna ganji labda chwani, shida ni gani?
Game ni 90
Yule manzi ako na chali, na unamdai
Game ni 90
Leo ni Friday kuna party, na uko kazi
Game ni 90
Ndio huyo landi huna rent, utalala wapi?
Game ni 90
[Post-Chorus]
Game ni nini? Game ni 90
Game ni nini? Game ni 90
Game ni nini? Game ni 90
Game ni nini? Game ni 90
[Outro]
Game ni 90
Game ni 90
Game ni 90
Game ni 90
Produced by: Metro Suka Doba
Directed by: Lynke Jr
Video Production: Filmbrand Studios
Did you enjoy Maandy’s “Game Ni 90” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

