Maandy – Senke Lyrics

Listen and read Maandy – Senke Lyrics on Doba KE. “Senke,” Nairobi slang for a motorcycle, continues Maandy’s streak of hot releases this year and follows Anapiga Pic Remix.
In the song, she discusses the escapades of a Nairobi girl who prefers to ride a motorbike across the city.
Read Maandy – Senke Lyrics
Kabaya
Eya
Eyo Metro Suka Doba
[Pre-Chorus]
Ma-G na maGwash hutambua ma-baby girl
Na kama nakulinki natokea vile inafaa
Ka si lags, ni clarks anavaa
Staki Benzo ama Bimmer, nataka nibebwe
[Chorus]
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Staki Benzo ama Bimmer, nataka nibebwe
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Staki Benzo ama Bimmer, nataka nibebwe
[Verse 1]
Ina-inapita woosh, Kawasaki Ducatti
Mambo shavaa ikisepa huipati
Ni Bajaj hucheza doba za Maandy
Debe imesukwa ikipita Umo ndani
Chali flani ni gwangi si mhandi
Ye-ye ni ras, Mwass ye ni Mwangi
Ka ni Ochi namuitanga Type C
Juu inacharge faster ikiwa ndani
Niko Alfa Key, miondoko steam
Aluta inashika, wapi gin?
Ni dem mauru shigwa peng ting
Mama yo, ah ah, leta mabling
Juu ya senke ninakujia mechi
Hii Kanairo jam huwa kesi
Passenger ni ngeus flani keki
We tegea mi naleta vitu deadly
[Pre-Chorus]
MaG na maGwash hutambua ma-baby girl
Na kama nakulinki natokea vile inafaa
Ka si lags, ni clarks anavaa
Staki Benzo ama Bimmer, nataka nibebwe
[Chorus]
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Staki Benzo ama Bimmer, nataka nibebwe
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Staki Benzo ama Bimmer, nataka nibebwe
[Verse 2]
Na-na-napenda kwanza senke imechorwa
Sijui rima gani ndo hukuwa na noma noma
Oyole, Ongwaro mi huzilola
Na bado Kilimani wanaziita boda boda, bombo!!
Achilia clutch alafu gonya
12 O’clock joh binguni unaeza ona
Inazidi tano nane hadi Khoja
M-Right hizo mambo anakuwanga top man
Ma-forcer, zero mileage
Hapa mbleina, haezi manage
Ni mapinga?, hio ndio language
102 mbogi tukipiga rampage
Juu ya senke ninakujia mechi
Hii Kanairo jam huwa kesi
Passenger ni ngeus flani keki
We tegea mi naleta vitu deadly
[Pre-Chorus]
Ma-G na maGwash hutambua ma-baby girl
Na kama nakulinki natokea vile inafaa
Ka si lags, ni clarks anavaa
Staki Benzo ama Bimmer, nataka nibebwe
[Chorus]
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Staki Benzo ama Bimmer, nataka nibebwe
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Juu ya senke, senke, juu ya senke
Staki Benzo ama Bimmer, nataka nibebwe
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.