Lyrics > Masterpiece King – Hatutasahau Lyrics

Masterpiece King – Hatutasahau Lyrics

Masterpiece King - Hatutasahau
Screengrab, "Hatutasahau" by Masterpiece King, YouTube.

Listen and read Masterpiece King – Hatutasahau Lyrics on Doba KE.

“The Devil Wears Kaunda” is an idiom for the Kenyan president, who is often seen wearing kaunda suits.

Masterpiece clarifies that Kenyans will not forget the killings, and atrocities committed against them during the anti-government protests.

“Hatutasahau” follows “One Legeh” released in May.

Read Masterpiece King – Hatutasahau Lyrics

[Intro]

Big Beats Afriq

The devil wears kaunda
The devil wears kaunda

[Chorus]

Hatutasahau, kile mli-do
Hatutasahau, kile mli-do do do
Hatutasahau, kile mli-do
Hatutasahau, kile mli-do do do

[Post-Chorus]

Kuteseka ni kwa muda, nitatoa ushuhuda
Kuteseka ni kwa muda, nitatoa ushuhuda
Na kile najua, ya kwamba, the devil wears kaunda
Na kile najua, ya kwamba, the devil wears kaunda

[Refrain]

The devil wears kaunda
The devil wears kaunda
The devil wears kaunda
The devil wears kaunda

[Verse]

Sijui niwasave ama nijisave?
Sijui ni wasenge ama ni ma-slave?
Mnapiga mtoto mdogo rithe twelve?
Sijui nirudi mboka nitoe bunduki kwa shelf

Roho inachafuka mkibonga chieth
Hadi nadhani unakunywa chrome kumbe ni Martell
Uh, na makarao hukosa uradi
I mean, how can you teargas a baddie?

Na si funny niko serious
Walipiga headshot kijana wa 19 years
Tunajitambua na ndo maana they be killin’ us
Niliambiwa siri ni moja, Master usirelax

Na si funny niko serious
Walipiga headshot kijana wa 19 years
Tunajitambua na ndo maana they be killin’ us
Niliambiwa siri ni moja, Master usirelax

[Chorus]

Hatutasahau, kile mli-do
Hatutasahau, kile mli-do do do
Hatutasahau, kile mli-do
Hatutasahau, kile mli-do do do

[Post-Chorus]

Kuteseka ni kwa muda, nitatoa ushuhuda
Kuteseka ni kwa muda, nitatoa ushuhuda
Na kile najua, ya kwamba, the devil wears kaunda
Na kile najua, ya kwamba, the devil wears kaunda

[Refrain]

The devil wears kaunda
The devil wears kaunda
The devil wears kaunda
The devil wears kaunda

Aloo

YouTube player
Masterpiece King – Hatutasahau

Produced by: Ares66

Video directed by: Antyvirus AV


Did you enjoy Masterpiece King’s “Hatutasahau” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts