Lyrics > Masterpiece King – Kichwa Mbaya Lyrics ft. Wakadinali

Masterpiece King – Kichwa Mbaya Lyrics ft. Wakadinali

Masterpiece King - Kichwa Mbaya Lyrics ft. Wakadinali
Wakadinali & Masterpiece King

Listen and read Masterpiece King – Kichwa Mbaya Lyrics ft. Wakadinali on Doba KE. “Kichwa Mbaya” has stirred online conversation due to Domani Munga’s witty, controversial lyrics.

The song follows Masterpiece King’s January 2024 track “Air BnB” featuring Scar Mkadinali, which came at the height of femicide cases in Kenya.

“Air BnB” promoted the #ENDFEMICIDEKE campaign.

Read Masterpiece King – Kichwa Mbaya Lyrics ft. Wakadinali

Big Beats Afriq

[Verse 1: Sewersydaa]

Usikuwe mslow, ka kobe, hauna doh, kakope
Tuko ma-coke, Curt Corbain, sijuangi law najua attorney
Hii chwa ficha, na ka anapenda Riyadh, ditch her (yo! yo!)
Usilete kichwa hapa utarudi 6 feet bila

Kwa majina mi huitwa Driller, ambia Rose si anikute villa
Silaha huwaga panga so mkitupanga msikuje na Fila
Hadi mi hushindwa si Stalin alihit wa kwanza ni Hitler
Body count ni ka mita sita, huskii na mi hata sijawai vunja bikra

Utachomaje ka huna rizzla, tukiwa sawa nyi mko bitter
Baby shower mlioshwa na mzinga, after makali mkakasirika
Kwani mnatakaje? Kulainishwa
Kula inishwa

[Chorus: Domani Munga]

Huyo msee hadi amecome na roho mbaya alitoka nikakumbuka stingo ingine
Unakaa poa bila hizo mguu za mbu, unakaa poa bila hio shingo
Alinitext I’m sorry, sikujua we ni kanono
Alinitext I’m sorry, kumbe we huwanga ivo
Alinitext I’m sorry, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, uh, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, uh, we’ ni kichwa mbaya

[Verse 2: Masterpiece King]

Ni kijana black Benz, na nlikuwanga back bench
Nakumbuka back then, tukipiga ma apartments
Hah, handsome boy, sijui nijipatent
Ka ni story ya doh, mi ni rende mapakee

Tusare madre, na nangoja maparcel (mzigo, mzigo)
Hakuna witness tukimfanya yani ni perfect
Nikuje na Wuzu ukakuwa bubu shut up
Master AKA zuzu niko ma-taptap

Hatubongi sana, ah ah, zetu ni pa! pa! pa! pa! pa!
It’s funny, karibu nikuwe pastor
Haturelate, ka huspin, chocolate girl anadai brown skin
Big booty bouncin’ niko maline guy sling

[Chorus: Domani Munga]

Huyo msee hadi amecome na roho mbaya alitoka nikakumbuka stingo ingine
Unakaa poa bila hizo mguu za mbu, unakaa poa bila hio shingo
Alinitext I’m sorry, sikujua we ni kanono
Alinitext I’m sorry, kumbe we huwanga ivo
Alinitext I’m sorry, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, uh, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, uh, we’ ni kichwa mbaya

[Verse 3: Scar Mkadinali]

Nakojoa kwa kaburi ya enemy, nikiwa ma t-y expect anything
Double hio white na penicillin, karibu nishikwe na plain Eastleigh
Ha, kama ni mambo ya Drill eazy peeni Slim
Na kama ni mambo ya deal busy pay me G

Somali ting Somali ting, anadai mi ni joker ye’ ni harlequin
Ka uko na ngwai unaeza washa mzing si unajua mi lazima nijipin
Sijui nirap, sijui nising, ogopa hio nyap kwanza ka ameitrim
Sikujangi solo nakuwanga na team, washa hio kolo mrenga ni tint

Si niwakumbushe mboka na sala, bangi imededi tumetoka matanga
Huyo dem ni mchawi kama ako na shanga, all my chargies huniitanga founder
Zi hushuka zingine zikipanda, naandika kwa tenje hadi inaisha charger
Ndo mshike KC ati mnachanga, ukiwa area mambo ni shavaa

[Chorus: Domani Munga]

Huyo msee hadi amecome na roho mbaya alitoka nikakumbuka stingo ingine
Unakaa poa bila hizo mguu za mbu, unakaa poa bila hio shingo
Alinitext I’m sorry, sikujua we ni kanono
Alinitext I’m sorry, kumbe we huwanga ivo
Alinitext I’m sorry, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, uh, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, uh, we’ ni kichwa mbaya

Huyo msee hadi amecome na roho mbaya alitoka nikakumbuka stingo ingine
Unakaa poa bila hizo mguu za mbu, unakaa poa bila hio shingo
Alinitext I’m sorry, sikujua we ni kanono
Alinitext I’m sorry, kumbe we huwanga ivo
Alinitext I’m sorry, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, uh, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, we’ ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry, uh, we’ ni kichwa mbaya

YouTube player
Masterpiece King X Wakadinali – kichwa Mbaya (Visualizer)

Produced by: Ares66

Video directed by: Badman Bright

Did you enjoy Masterpiece King featuring Wakadinali’s “Kichwa Mbaya” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts