Lyrics > Masterpiece King – Mapacke Lyrics

Masterpiece King – Mapacke Lyrics

Masterpiece King - Mapacke Lyrics

Listen and read Masterpiece King – Mapacke Lyrics on Doba KE.

Featuring a Narcos-esque instrumental that is reminiscent of his debut album ESCOBAR, Masterpiece begins by addressing a familiar claim.

In the past, fans have claimed that he uses rapper Scar Mkadinali as his ghostwriter, due to the similar flows in songs like “Utaniget.”

In the song, he also makes light of Kenyan content creator Azziad Nasenya’s financial woes, claiming he can lend a helping hand. “Mapacke” marks his first song of 2025.

Read Masterpiece King – Mapacke Lyrics

Mapacke mapacke kwa wingi but hizo hesabu aziadd
Mapacke mapacke mapacke
(Big Beats Afriq)

[Verse 1]

Ni ukweli Scar ameniandikia
Lakini mi nimemwandika
Juu sina time ya kuandika hizi lyrics
Mziki haiwajawai nilipa

Malaya
Nimekula style zote na bado anadai ati deeper
Nashangaa
Ntakuambia aje uende nyumbani asubuhi ikifika

Uliza Shishi, mi ndio wa Fao
Kukuliwa bibi, mambo ya town
Uko na zigi tufunge ki-Loud
Mambo ni mingi zingine nasahau

[Refrain]

Mapacke, mapacke, mapacke, mapacke, mapacke
Ndio imejaa kwa jacket
Watake wasitake
I swear kumamake sisi ndio machizi kwa market

[Verse 2]

Anataka anipate anipashe
Lakini akumbuke mimi si babake
Nina denge kutoka Mathari
Si humangana hatupeanangi mate

Masaa, ni ya majira
We ni ka mat iko na pararira
Inafaa, wajue ni mila
Usipende za bure watakufira

[Pre-Chorus]

Bonga upuzi unazied
Mbona huheshimu wazee?
Nasenya utatesekaje Kenya na niko?
Hizo hesabu aziadd

[Chorus]

Hizo hesabu aziadd
Hizo hesabu aziadd
Mapacke, mapacke, mapacke kwa wingi
But hizo hesabu aziadd

Hizo hesabu aziadd
Hizo hesabu aziadd
Mapacke, mapacke, mapacke kwa wingi
But hizo hesabu aziadd

[Verse 3]

Cheki Lina anataka real life
Hataki ring anataka ring light
Washanitii wanawika be nice
Anataka ?? nikamu dinner

Amechomeka akibuy udim light
Anamezanga deki mzima
Woi! Deki mzima
Anatembea na nimemulima (woi! nimemulima)

Wanatusumbua, wanatuchambua
WaliRigathi Gachagua
Wengine masimba, wengine maswara
Jaguar alinyamazanga

[Pre-Chorus]

Bonga upuzi unazied
Mbona huheshimu wazee?
Nasenya utatesekaje Kenya na niko?
Hizo hesabu aziadd

[Chorus]

Hizo hesabu aziadd
Hizo hesabu aziadd
Mapacke, mapacke, mapacke kwa wingi
But hizo hesabu aziadd

Hizo hesabu aziadd
Hizo hesabu aziadd
Mapacke, mapacke, mapacke kwa wingi
But hizo hesabu aziadd

YouTube player
Masterpiece King – Mapacke

Produced by: Ares66

Video directed by: Badman Bright


Did you enjoy Masterpiece King’s “Mapacke” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts