Matata – Inakubalika Lyrics ft. Watendawili
Listen and read Matata – Inakubalika Lyrics ft. Watendawili on Doba KE. Following “Ngata (Pi Pi Pi Po Po Po),” earlier this year, Matata team up Watendawili for this certified banger.
Produced by Wuod Omollo, the visuals were directed by Katabira Films and Matata, and arrived after a week of teasing.
Read Matata – Inakubalika Lyrics ft. Watendawili
[Verse 1: Ywaja Tajiri]
Niache Nyash ipite boss kwani mi ni nugu?
Sikosi nguvu baby girl mi hukula njugu
Bad to the bone lazima nikunywe supu
Shake dat ting hadi upigwe marufuku
Kaende kaende, kifo cha mende
Unaninyonya kama maembe na tembe
Game bubu vitu zetu usiseme
Wacha wabaki wakidhani kuna venye
[Refrain: Israel Onyach]
Peleka juu, peleka chini
Usiogope ku— rarua mini
Ikishika sana, toa ulimi
Zako zikipanda, cheza na mimi
[Chorus: Richie]
Maordinary tuko area
Cheki vile doba imetubeba
Tingisha kichwa toa ngepa
Ule dem ako handas si amebeba
Zitoke mkono na mabega
Tetemeka ka una malaria
Shingo kando ka umeng’ethia
Jikune ni ka una bacteria
Alafu pause…
[Post-Chorus: Matata]
Inakubalika, inakubalika, inakubalika
Inakubalika, inakubalika, inakubalika
[Verse 2: Freddy]
Rating ni five star
Ndani ya five star hotel kwetu ni Gaza
Naroga ka Vybz Kartel niko na answer
Uko na swali naeza tell bombastic side-eye (bombastic side-eye)
Sijavuka border napiga ma-Ethiopia
Ka ni 420 tupate tukichoma
Pigia pedi akuje na keroma
Hizi mamoshi zinatibu mpaka homa
Madem wanapaka hena na ma-foundation
Wanasema right now tuma location
Wanajua si ndio huwanga na formation
Mpesa confirmation leo celebration
[Chorus: Richie]
Maordinary tuko area
Cheki vile doba imetubeba
Tingisha kichwa toa ngepa
Ule dem ako handas si amebeba
Zitoke mkono na mabega
Tetemeka ka una malaria
Shingo kando ka umeng’ethia
Jikune ni ka una bacteria
Alafu pause…
[Post-Chorus: Matata]
Inakubalika, inakubalika, inakubalika
Inakubalika, inakubalika, inakubalika
[Verse 3: Fezzoh]
Uko divine baby, sa mbona ukunywe Chrome
Uko na body fine asalam, aleikum salaam
Ka si ya brown ah, ah, kwangu kitu haram
Geuka ka ghost nikishatumaga hizo salam
Niko na time and doh za ku-waste kwa mahoe nikasha get bored
Yo bam bam
It’s like a ticking bomb when you tippin’ toes yeah I want some more
Yo bam bam
Napiga proper toka morning mpaka jion’
From the window to the wall, bedroom mpaka jikon’
Vile anageukanga we utadhani ye’ chameleon
Kesi imeshageuka dria, my girl a hoe
[Chorus: Richie]
Maordinary tuko area
Cheki vile doba imetubeba
Tingisha kichwa toa ngepa
Ule dem ako handas si amebeba
Zitoke mkono na mabega
Tetemeka ka una malaria
Shingo kando ka umeng’ethia
Jikune ni ka una bacteria
Alafu pause…
[Post-Chorus: Matata]
Inakubalika, inakubalika, inakubalika
Inakubalika, inakubalika, inakubalika
Produced by: Wuod Omollo
Video directed by: Katabira Films & Matata
Did you enjoy Matata featuring Watendawili’s “Inakubalika” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

