Mbuzi Gang & Harry Craze – Denda Lyrics

Listen and read Mbuzi Gang & Harry Craze – Denda Lyrics on Doba KE.
Mbuzi Gang, consisting of Fathermoh, Joefes, and iPhoolish, teams up with Harry Craze for their latest hit, “Denda.” This collaboration marks their first song of the year as a group.
Known for his catchy hooks, Fathermoh does the chorus while the other three artists shine on the verses.
Read Mbuzi Gang & Harry Craze – Denda Lyrics
(Black Market Records)
Yeah
Eyo Clamer
Yeah Yeah
This building
Oh my God Brim!
[Chorus: Fathermoh]
Nikikukatia denda, denda, denda
Nikiteka denda, return to sender
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Nikikukatia denda, denda, denda
Nikiteka denda, return to sender
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Dj basi fanya wazungushe hio denda
[Verse 1: iPhoolish]
Usikam kwangu ka unajua hujainyoa
Eh, ka unajua hujainyoa
Mchezo wa kuingiza, naingiza naitoa
Eh, naingiza naitoa
Te-te, tetemesha mguu punguza nyege
Ananiride ka mi senke
Ka ni wa wenyewe si atekwe
Eh, eh
Denda, teka, return to sender
Nyonyo anatekwa leo juu mi ni spender
Analeta kiti, alafu anameza
Peng hana njete, ndo maana naileta
[Chorus: Fathermoh]
Nikikukatia denda, denda, denda
Nikiteka denda, return to sender
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Nikikukatia denda, denda, denda
Nikiteka denda, return to sender
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Dj basi fanya wazungushe hio denda
[Verse 2: Joefes]
Peng ako na denda denda, napenda ni ndeng’a
Peng ako na red flags danger
Mechi si huchapa huchapa, banger
Another, another, banger ka Rema
Hii rungu ikidunda, mtaa ni tremor
Beef ka (click), Mungai na Trevor
New number mi hulenga
Unapenda favor ye hupenda banana, CD iko na flavor
Ever ready, ngede, ndakas
Yo! Niko na park ya mapakas
Story ya jaba, mbuzi, kalas
Na hizi riba, ratili tunabalance
[Chorus: Fathermoh]
Nikikukatia denda, denda, denda
Nikiteka denda, return to sender
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Nikikukatia denda, denda, denda
Nikiteka denda, return to sender
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Dj basi fanya wazungushe hio denda
[Verse 3: Harry Craze]
Kwela ni maji maji na tena ni thick sana
Nikiitaka mi lazima nirepeat bana
Anazungusha, napanda akishuka
Ananichanganya nadhani niko magunga
Rombosa ninii, joh niskie fiti
Napapasa napapasa nashikwa na thithi
Na kwanza venye umedunga ka-mini
Nakukata nakukata mpaka hadi chini
Tingika tingika ki-Ozeba
Napenda zile vitu ziuwanga zimebeba, beba
Tingika tingika ki-Ozeba
Napenda zile vitu ziuwanga zimebe—
[Chorus: Fathermoh]
Nikikukatia denda, denda, denda
Nikiteka denda, return to sender
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Nikikukatia denda, denda, denda
Nikiteka denda, return to sender
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Dj basi fanya wazungushe hio denda
Produced by: Eyo Clamer
Video directed by: Chemy
Did you enjoy Mbuzi Gang & Harry Craze’s “Denda” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.