Mejja – Mboka Lyrics
Ah, ah, ah
Okwonkwo
Sappy, Sa-Sappy
Yoh!
[Verse 1]
Niko busy huwezi nipata kwenye cellular
Tumbo haina haya kila saa inataka kukula
Buda usisote manze tumia hio medulla
Piga mboka, piga mboka, piga mboka
Mi ni hustler, hujai jua
Naeza uza ice, ka kuna mvua
Hustler mbaya nakuambia najitambua
Piga mboka, piga mboka, piga mboka
[Chorus]
Matha anataka doh, mtoi anataka doh
Sherehe inataka doh, msupa anataka doh
Ndio napiga mboka mboka mboka
Buda piga mboka mboka, wollan!
Matha anataka doh, mtoi anataka doh
Msupa anataka doh, sherehe inataka doh
Ndio napiga mboka mboka mboka
Buda piga mboka mboka, we!
[Verse 2]
Mi huenda Gikomba nachukua nguo ya chwani
Naingia nazo tao nawashika two chwani
Bora nipate doh, doh, ganji
Doh, wollan!
Nikikosa kazi ya ofisi
Mi nauza mboga nawashika Marikiti
Ama kamagera nishike hapo Kamukunji
Bora nipate doh doh doh doh doh, yoh!
Hmm, single dad nawacheki
Mkihustle nawacheki big up
Single mom nawacheki
Mkihustle nawacheki big up
Ghetto yout nawacheki
Mkihustle nawacheki big up
Family man nakucheki
Ukihustle na- yoh!
[Chorus]
Matha anataka doh, msupa anataka doh
Sherehe inataka doh, mtoi anataka doh
Ndio napiga mboka mboka mboka
Buda piga mboka mboka, wollan!
Matha anataka doh, msupa anataka doh
Mtoi anataka doh, sherehe inataka doh
Ndio napiga mboka mboka mboka
Buda piga mboka mboka, wollan, yoh!
[Bridge]
Yeah, check
Genge livity, Genge livity, Genge livity
Wollan, yoh yoh!
Cheki, Okwonkwo
Yoh yoh
New style, dance style, huh!
[Outro]
Safisha white kama janitor (uh, uh, uh, kama janitor)
Safisha white kama janitor (safisha, safisha, safisha)
Safisha white kama janitor (uh, uh, uh, kama janitor)
Okwonkwo (yoh), yoh!
Safisha white kama janitor (yoh, yoh, yoh, kama janitor)
Safisha white kama janitor (safisha, safisha)
Run It
