Mejja – Ya Mwisho Lyrics
Listen and read Mejja – Ya Mwisho Lyrics on Doba KE.
Marking his first song of the year, Mejja tells the story of the constant cycle of infidelity in Nairobi.
Read Mejja – Ya Mwisho Lyrics
[Intro]
Unarecord?
Sawa
Producer Krome
Okwonkwo
[Verse 1]
Nilikuwa nimetulia tu, nakunywa chai
Ya tangawizi nikikula tumayai
Sina noma nimetulia walai
Msupa akakuja akishout akidai—
“Gai, Mejja Neme Khadija”
Nikajua ukiitwa na jina ya ID
Hapa kuna noma moja imelipuka
Aiyaiyaiya
“Who is this? Anakutumia nudes, na emoji kiss”
Nikamwambia baby nadhani una-overthink
Akasema wait, kitu last week
Nilipata shati imejaa lipstick
Alafu this week unaniplay na this bitch
Akanipiga bare, so you think I’m st*pid?
Nitachukua vitu zangu nikuwachie hio nyumba
Ulete hao mapoko uendelee kuwakula
Nikamwambia baby you know you’re my life
Mi ntakuoa I’m gonna make you my wife
Nikapiga magoti nikamwambia “I’m sorry”
Nikaanza kulia, nikamguza roho
Akatulia nikamshow
[Chorus]
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Aki baby nisamehe I promise you
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Aki baby nisamehe I promise
[Verse 2]
Next day nilikuwa nimetulia
Nikaskia beshte yangu amenipigia
“Utakula jaba? Unaskia kuchana?”
Nikamshow “Pull up my brejin” (pull up my brejin)
Mi nakula jaba tu polite
Nikapata message, “Are you free tonight?”
Huyu msupa amenitoa wazimu
Ni clande, moja kitu
Nikaambia beshte yangu anipeleke South B
Msupa akasema tutumie Gate B
Hapo ndio beshte yangu alishika rada
Akaniambia, “Mejja nini unataka kufanya?”
Ni juzi tu manzi yako alikupata
Ukamuambia kuwa player umeacha
Kabla nimjibu manzi akafungua gate
Vile amevaa, amevaa mini
Ukicheki thighs zake, hungeamini
Mpaka beshte yangu akasema anakaa fiti
Nikamwambia “Eh we, we ni ka mimi”
Akaniambia “Na ukishikwa?,” nikamjibu hivi—
[Chorus]
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
After tumekulana, sitakulana tena
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
After tumekulana, sitakulana tena
Produced by: Krome
Video directed by: Ricky Bekko
Did you enjoy Mejja’s “Ya Mwisho” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
