Nyashinski – Bluff Lyrics

Listen and read Nyashinski – Bluff Lyrics on Doba KE.
“Bluff” is the third song on the To Whom It May Concern EP.
Read Nyashinski – Bluff Lyrics
[Chorus]
Who does it better than us?
Nishow ndio nicall hio bluff
Millionaire na nalia ni ku-tough
Nikaa kuwa highest paid si enough
Kila mtu anataka something
Kila mtu anakuwanga hunting
Naombwa mapicha hadi Churchill
Hii shit hukuwanga demanding
Man, ndo maana vela ni must
[Verse 1]
First of all nashukuru God niko hai (yeah)
Superstar ndo maana sikuwangi outside (huh?)
Mi ni business utaniaddress vi-polite (yeah)
Hii ni kismat hapa joh mambo vulai
Nakubless unafurahi
Nothing else unadai
Na-navigate hizi streets zimejaa mabeast hawataniwai
Maisha marefu ikunice
I hope ufind ikigai
I hope ufind ikigai
[Chorus]
Who does it better than us?
Nishow ndio nicall hio bluff
Millionaire na nalia ni ku-tough
Nikaa kuwa highest paid si enough
Kila mtu anataka something
Kila mtu anakuwanga hunting
Naombwa mapicha hadi church
Hii shit hukuwanga demanding
[Verse 2]
Natafuta maziwa nipe familia
Na shamba nalima imejaa na watiaji
Watu wazima inafaa kuwa clear
Unakataa kusoma unaanguka mtihani
Uko kwa process ya kuchanuliwa
Unakataa kusaidiwa
Unapata unaishiwa
Unasahauliwa
Usiharibu biashara
Si unajua vile kouenda tukizoeana
Ma-ego zohugongana (yeah)
Kila mtu anajipenda
Hata ka unajipenda, hatutawahi toshana
Mi najua vile kuoenda tukizoeana
Na mi hapana kijana
Mi hapana shindana
[Chorus]
Who does it better than us?
Nishow ndio nicall hio bluff
Millionaire na nalia ni ku-tough
Nikaa kuwa highest paid si enough
Kila mtu anataka something
Kila mtu anakuwanga hunting
Naombwa mapicha hadi Churchill
Hii shit hukuwanga demanding
Man, ndo maana vela ni must
[Verse 3]
Hii si easy win, hii ni hard work ju ya discipline
Naona rapper aliisha ako bitter anatweet “wasanii watalearn”
Silly him, calm down buda mi ni Shin
Been him since the beginning
Niko homeground wako visiting
Streets love me for real
Truth hurts no penicilin
Show ya mine ni production
Nakujaje tour tena bila team?
Najitoa line-up inaisha steam
Mi ndo headliner mzimbiting (ha)
Fans wanaitisha ma-refund
Mnacheza PR kama Gina Din
Wanatry kunimaliza wanapata chances zao ziko really slim
Aibu kwao mi ni msharp, na sijali
Wananidiscuss kwa ma-group zao za WhatsApp, hawalali
Wanani-sneak diss kwa macaptions zao
But of course hawanitaji
Ngoma inaslap na si tafadhali
Hata ka hawataki wanakubali
Unaskiza G.O.A.T
Taste yako ni mabaya ka bado unaargue
Naambia account yangu “I love you”
Najua sauti yangu ina value
Mtanijengea mahali ki-statue
[Outro]
Who does it better than us?
Produced by: KDa Great, Teflon Zincfence, Bully
Did you enjoy Nyashinski’s “Bluff” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.