Lyrics > Nyashinski – Tai Chi Lyrics

Nyashinski – Tai Chi Lyrics

Nyashinski - Tai Chi Lyrics

Listen and read Nyashinski – Tai Chi Lyrics on Doba KE.

Marking his first release of 2025, Nyashinski returns with his trademark confidence on “Tai Chi.”

The track borrows its title from the ancient Chinese martial art, using the balance and discipline of Tai Chi as a metaphor for his steady dominance in the game.

Shin signed a recording deal with Sony Music Africa on August 15, 2025, signaling an even bigger chapter ahead for his career.

Read Nyashinski – Tai Chi Lyrics

(iLogos music yeah)
Yeah

[Verse 1]

Uko kwa traffic bila AC
Unascroll tu malele IG
Niko na bed sita uko kwa bedsitter
Siku hizi sura yenyewe ID

Naeza drive gari mkebe na steez
Naishi side ya njeve na trees, uh!
Naamkanga saa najiskia
Na navaa tie kaa najiskia

Luku safi juu stunnas
Oud Satin Mood lover
Nakeep time tukikutana
Na namake sure unacome first, good manners

Good heavens, alafu good riddance
Nakuguarantee utanimiss (wewe)
Nakugarantee utanimiss
Utanimiss ukishajua mbona wote

[Chorus]

Wananiita master ama daddy
Nilizaliwa Nai
Hizi streets jina yangu ID
Inagonga kutoka far kama tai chi

Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Ka-ka-ka-kama tai chi, ka-ka-ka-kama tai chi

[Verse 2]

Nikidrop hawaezi kwara
Wanairukia ni kaa imetupwa nyara
Ukiangalia unaona tu msafara
Kaa siafu, na hizo tu ni dollars

Nahesabu, bila hitilafu
Bila was’ bila curfew (wewe)
Najituma, navuna
Kama kuna works ya kuskuma naskuma

Hizi streets hazitakangi madwanzi
Kuna jam ya watu wanasaka ganji
Na ma youth wanaasha tu mabangi
Kulalia maskio hatutakangi

Mascammer hutarget watu wa mũchatha
Brother, hapa kaa rada
Utadhania ni get rich quick
Kumbe zimedisappear ki-abracadabra

[Chorus]

Wananiita master ama daddy
Nilizaliwa Nai
Hizi streets jina yangu ID
Inagonga kutoka far kama tai chi

Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Ka-ka-ka-kama tai chi, ka-ka-ka-kama tai chi

[Outro]

Wananiita master, ama my G
Na hawanisaidii
Hizi streets jina yangu ID
Inagonga kutoka far kama tai chi

Inagonga kutoka far kama—
Gonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama—

YouTube player
Nyashinski – TAI CHI

Produced by: iLogos

Video directed by: Steve Mugo


Did you enjoy Nyashinski’s “Tai Chi” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts