Rekles – Ni Unblock Ft. Kiukenya Lyrics
Listen and read Rekles – Ni Unblock Ft. Kiukenya Lyrics on Doba KE.
On “Ni Unblock,” Rekles confronts his ex, urging them to get back together. He admits that he made a mistake and wants to make things right.
Read Rekles – Ni Unblock Ft. Kiukenya Lyrics
Ni unblock
Ni unblock
Ni unblock
Oya, eya
Oya
[Chorus: Rekles & Kiukenya]
Juu nina vitu nafaa kukuambia
Kwanza venye naskia nimekumiss na kadhalika
Sijui ka unajua imekuwa karibu one year
So ka bado uko single baby nipe notice (Ni unblock)
Juu nina vitu nafaa kukuambia
Kwanza venye naskia nimekumiss na kadhalika
Sijui ka unajua imekuwa karibu one year
So ka bado uko single baby nipe notice
[Bridge: Rekles & Kiukenya]
Kama hakuna venye naeza kaa bila we
Sijapata msupa amefikia standards uliset (Ni unblock)
Kama hakuna venye naeza kaa bila we
Hata moja, mi sijaona…
[Verse 1: Rekles]
Kwanza kwanza unakumbuka
Usisahau watu hata ka unazidi kuwa msupa
Juu WhatsApp, IG hauonekani
Mi hufeel ni ka uko majuu na hata hauko mbali
Ama uliolewa? Juu mabibi ndio hujificha
Inakaa ni mimba ndio inafanya utembee kwa giza
Si chocha unaniumiza so nachoma tu liver
Area mi huambiwa daily ati najiaibisha
Nilikuwa fala mi ndio niliblunder nimekubali
Ukanisnob ukaniblock, nikatry kumove on
Si rahisi venye nilikuwa nadhani
Ndio nakushow joh hio bond inafanya nikucall
[Chorus: Rekles & Kiukenya]
Juu nina vitu nafaa kukuambia
Kwanza venye naskia nimekumiss na kadhalika
Sijui ka unajua imekuwa karibu one year
So ka bado uko single baby nipe notice (Ni unblock)
Juu nina vitu nafaa kukuambia
Kwanza venye naskia nimekumiss na kadhalika
Sijui ka unajua imekuwa karibu one year
So ka bado uko single baby nipe notice
[Verse 2: Rekles]
Mapenzi ni ya stima, ile ya kupeana jina
Nacome na straw juu unataste kama Ribena
So ka unadai nigga, mwenye anaeza ipiga
Mwenye anaeza lenga ni mtu mmoja joh mjinga
Kuperform, I am the one
Na saa zingine temptation mingi joh kwa ma-pro
Ka unanielewa joh ni unblock, naomba msamaha
Pia saa zingine ka kuna baridi hakuna mtu naeza call
Hadi napanick, cheki
Kaa umeweza, mbona nishinde nikuangalia
Ndio mi husema, na hawataki kuniskiza
Kaa umeweza, mbona nishinde nikuangalia
Ndio mi husema, na hawataki kuniskiza
[Chorus: Rekles & Kiukenya]
Juu nina vitu nafaa kukuambia
Kwanza venye naskia nimekumiss na kadhalika
Sijui ka unajua imekuwa karibu one year
So ka bado uko single baby nipe notice (Ni unblock)
Juu nina vitu nafaa kukuambia
Kwanza venye naskia nimekumiss na kadhalika
Sijui ka unajua imekuwa karibu one year
So ka bado uko single baby nipe notice (Ni unblock)
[Outro]
Kama hakuna venye naeza kaa bila we
Sijapata msupa amefikia standards uliset
Ni kama hakuna venye naeza kaa bila we
Hata moja, mi sijaona…
Ni unblock
Produced by: Batoz Music Ent
Video directed by: Dollex
Did you enjoy Rekles featuring Kiukenya’s “Ni Unblock” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
