Sewersydaa – Ki Di’ng Lyrics Ft. Ajay

Listen and read Sewersydaa – Ki Di’ng Lyrics Ft. Ajay on Doba KE.
Off Sewersydaa’s Mauru Unit album, “Ki Di’ng” marks the second time Man a Driller and Ajay collaborate exclusively on a track.
The two previously teamed up on January 2022’s “Good Morning Africa”, produced by Afrvka Beats.
Read Sewersydaa – Ki Di’ng Lyrics Ft. Ajay
Raah
Mauru Unit
Man a Driller yoh!
[Chorus: Sewersydaa]
Ukianza kumblein, utaingiwa ki di’ng
Hatuna wa kublame (tulijiingiza), tulijiingiza sisi
Huwezi maintain, niaje, niaje buda uko simping
Nasafisha West (west, west), nasafirisha East
East, East, East, East, East, East, East, East, East

[Verse 1: Sewersydaa]
Yoh! Najaza nikitoa hio ndo routine
Sa nauliza ka ntaajatoboa
Unapata, tukis ikiisha shoke nawaamkia hakuna kugoa goa
Kohoa ka una deni yangu
We’ ukicheki back manyu (Haloo)
Mi naona vile ntapora mpoa
Ukora hung’oa mara ya nzakwa akimarwa
Indaa ni ngumu kutifu wapoa (yoh, yoh)
Child soldiers bado wako field, waniaju wanalima mugunda
Watu wangu wa West na East, tuko far but tuko kimoja
White collar saa hii kwa street, wanadai system haiwatakii
Na hii solar with no shilling, hata ukidai finje sikupatii
Siezi wablame kwa nini, mliamua ku-vote na feelings
Wakibonga msiamini, wanaeza do anything juu ya kiti
Ting ting ni ya nini? Na siezi hepa i’m not guilty
Beast East ni ati, na akikam vibaya akule ki di’ng
[Chorus: Sewersydaa]
Ukianza kumblein, utaingiwa ki di’ng
Hatuna wa kublame (tulijiingiza), tulijiingiza sisi
Huwezi maintain, niaje, niaje buda uko simping
Nasafisha West (west, west), nasafirisha East
East, East, East, East, East, East, East, East, East
Ukianza kumblein, utaingiwa ki di’ng
Hatuna wa kublame (tulijiingiza), tulijiingiza sisi
Huwezi maintain, niaje, niaje buda uko simping
Nasafisha West (west, west), nasafirisha East
East, East, East, East, East, East, East, East, East
[Verse 2: Ajay]
Nilijua ngwai ni tamu joh nikiwa sixteen
Simaanishi m-itot nikisema nani alipigwa na ki di’ng
Huku kwetu tumejipin, mali joh tif tif
Tunaleta smoke si si walevi joh hatu sip sip
Niko stoned kushinda Earth Bender
Mary Jane huskii nampenda
Ye’ na mkoro hawajawai nitenda
Kuna venye ana-coolisha temper
Huku East anapenda ma head bud
Anakulwanga tu na marenpa
Huku East anapenda ma head bud
Anakulwanga tu na marenpa
Uh, tuko West tumesafisha East
Ama watasafishwa na ma-Beast
Juu vitu umefanya siezi sema kwa beat
Acha marapper waendelee kuji-snitch
Ni mafood nawa-serve kwa streets
Ka huna lean get it chief from me
Ni mafood nawa-serve kwa streets
Ka huna lean get it chief from Slim
Did you enjoy Sewersydaa featuring Ajay’s “Ki Di’ng” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.