Sewersydaa – Yaye Lyrics Ft. Scar
Listen and read Sewersydaa – Yaye Lyrics Ft. Scar on Doba KE. On “Yaye” off the Mauru Unit album, Sewersydaa and Scar Mkadinali link up to trade bars about the luxury life they are currently living.
While Sewersydaa flexes his muscles with lines like “Uber nimemchukulia V-Power, commander in chief wa mawada,” Scar fuses Dhuluo with sheng for a perfect blend of bravado and wit.
Read Sewersydaa – Yaye Lyrics Ft. Scar
HR pump hio track bana
[Chorus: Sewersydaa]
Ya ya ya ya yaye
Siku hizi niko ma-yayo
Lifestyle ya ki-Yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta ya-ya-ya-ya
Yaye, siku hizi niko ma-yayo
Lifestyle ya ki-Yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta ya-ya-ya-ya
[Verse 1: Sewersydaa]
Young father ashatoa kitambi na bado keja stove haiwaki
Kuna rapper ana kinyambis aliacha mic na saii haichapi
Huku hatutaki za kabej tuma enough hadi za family
Tabia za kibabi zii hatuachangi kitu kwa sahani
Gatekeepers tuliacha kwa mlango kila kitu huishaga fashion
Ambia huyo diva asi-twerk hapo, hatutaki bukla inuke jasho
Mzigo hutoka keja ya capo ikifika Eastlando tunazidouble
Nikitaka kuhepa custom tax evasion naenda hadi ngambo
Yeah man nimetumana, Yolanda anacome in the next hour
Uber nimemchukulia V-Power, commander in chief wa mawada
Unaeza jo pata bag ya Durban lakini hautaipata chini ya bramba
O.D hadi kilimramba hii si glucose unalamba
[Chorus: Sewersydaa]
Yaye siku hizi niko ma-yayo
Lifestyle ya ki-Yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta ya-ya-ya-ya
Yaye, siku hizi niko ma-yayo
Lifestyle ya ki-Yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta ya-ya-ya-ya
[Verse 2: Scar]
For real, mayooo, Nyakwaro ganga jo giwalo
Saka sa ahero manyo, ka chwado gino nyakolayo
I mix fruit juice gi ng’ang’o, I mean nduku dizayo
Bluetooth Mc Bayo vako ndio mi hukuwama uende viral
Mbogi inabonga na gestures, guest anashindwa kuget stuff
Mresh amebeba, I guess ass ilinizuia sikuona hizo red flags
Star again bado gangster ukibargain huezi get Scar
Nina burden nabeba rap game nina that brain kaa ya Dexter
Kwa biz lazima risk, arif alidungwa hio kitu ni deep
Si dim bado ni lit mi nina cream yeye analick
Mi na mouse hatuezi click hata kwa bio hatuezi link
Hio mouth inahitaji mint ju ya ngaus mrenga ni tint
[Chorus: Sewersydaa]
Yaye siku hizi niko ma-yayo
Lifestyle ya ki-Yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta ya-ya-ya-ya
Yaye, siku hizi niko ma-yayo
Lifestyle ya ki-Yoyo
Tempted to quit my day job
High nikiskiza Raekwon
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta gani hizo?
We’ unataka kuleta ya-ya-ya-ya
Produced by: HR The Messenger
Did you enjoy Sewersydaa featuring Scar Mkadinali’s “Yaye” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

