Lyrics > Spoiler 4T3 – Selekta Lyrics Ft. RanzScooby

Spoiler 4T3 – Selekta Lyrics Ft. RanzScooby

Spoiler 4T3 - Selekta Lyrics Ft. RanzScooby

Listen and read Spoiler 4T3 – Selekta Lyrics Ft. RanzScooby on Doba KE.

Produced by Soundkraft “Selekta” finds the Arbantone duo of Spoiler and RanzScooby on a dance vibe.

With mentions of phrases like “One legeh” and “Acha topa isonge na debe,” the song is an ultimate dance anthem.

Read Spoiler 4T3 – Selekta Lyrics Ft. RanzScooby

Eazy bad walai toa form
4-4-4-3-4
Eh, na tuko na Like a Boss
Like a—, like a—

[Refrain]

Wacha nibonge na selekta
Wacha nibonge na selekta
Wacha nibonge na sele— sele— sele— sele—
Selekta

[Verse 1: RanzScooby]

Ni ka umetumwa kutumaliza
Skiza madoba vile unazizifuatanisha
Na wale wa matopa washaanza kuzitingisha
Topa doba inafanya mogoka joh inatuthigitha

Ni ka umetumwa kutumaliza
Skiza madoba vile unazizifuatanisha
Na wale wa matopa washaanza kuzitingisha
Topa doba inafanya mogoka joh inatuthigitha

[Chorus: Spoiler 4T3]

So nipatie wamtelez
Teleza nayo alafu nipe one legeh
Kata upepo ni ka uko juu ya mbege
Na kama uko na topa acha topa isonge na debe

So nipatie wamtelez
Teleza nayo alafu nipe one legeh
Kata upepo ni ka uko juu ya mbege
Na kama uko na topa acha topa isonge na debe

[Verse 2: Spoiler 4T3]

Kinanda, cheza na kinanda
Vile doba inagonga ndio gwethe inabamba
Nipe stingo moja deadly yaani ya wanga
Na ukikubali zishuke ndio ujue ume—–

Na Dj tushakukubali
Tushakubali kila doba joh ni masti zimetuthigitha chwaki
Tubebe basi na hio mwendo wa kasi
Zilete zilete, a-ka risasi

Wao huniita Spoiler ama Bomb ati, Spoiler ama Bomb, eh
Juu kila doba joh natoa hukuwa ni bomb
Na sijai kosa form eh, sijai kosa doh eh
Juu kila siku mi hushinda na Like a Boss

[Chorus: Spoiler 4T3]

Ah wamtelez
Teleza nayo alafu nipe one legeh
Kata upepo ni ka uko juu ya mbege
Na kama uko na topa acha topa isonge na debe

So nipatie wamtelez
Teleza nayo alafu nipe one legeh
Kata upepo ni ka uko juu ya mbege
Na kama uko na topa acha topa isonge na debe

[Verse 3: RanzScooby]

Easy, easy, teleza kimtelez
Ka ukata upepo ni ka uko juu ya mbege
Selekta si uilete
Na ulete tena tuzitoke na madenge

Nimemjenga na gethaka, nimemjenga change ya chwani
Nashindwa huu madam ananipima juu ni mali
Anaitisha doh ni kama mi ni msee maba—
Anajua niko kadi lakini msupa samahani (mayooo!)

Zangu bana zimeshika hapa Ibiza
Machuki na magode tumekuja kumaliza
Mogoka imelipuka mpaka che ni aluta
Na doba joh inagonga na inaitisha

[Chorus: Spoiler 4T3]

Wamtelez
Teleza nayo alafu nipe one legeh
Kata upepo ni ka uko juu ya mbege
Na kama uko na topa acha topa isonge na debe

So nipatie wamtelez
Teleza nayo alafu nipe one legeh
Kata upepo ni ka uko juu ya mbege
Na kama uko na topa acha topa isonge na debe

YouTube player
Spoiler 4T3 – SELEKTA feat. RanzScooby

Produced by: Soundkraft

Video directed by: Wallace Mecha


Did you enjoy Spoiler 4T3 featuring RanzScooby’s “Selekta” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts