Tipsy Gee – Pia Mi Nataka Lyrics Ft. Watendawili & Fathermoh
Listen and read Tipsy Gee – Pia Mi Nataka Lyrics Ft. Watendawili & Fathermoh on Doba KE.
“Pia Mi Nataka” which loosely translates to “I also want,” finds Tipsy Gee, Watendawili, and Fathermoh in full party mode. In the song, they trade bars about attraction, confidence, and good vibes.
Read Tipsy Gee – Pia Mi Nataka Lyrics Ft. Watendawili & Fathermoh
[Intro]
Canvas records
Oh yeah, yeah
Yah man, mmh hmm
Yoh! yoh!
(Vic twende)
[Chorus: Ywaja Tajiri]
Oooh leo tuko kioo
Hatutaki vita hatutaki war
Tuko tipsy na tunaongeza more
Oooh leo tuko kioo
Hatutaki vita hatutaki war
Tuko tipsy na tunaongeza more
Yeah yeah
[Verse 1: Israel Onyach, Ywaja Tajiri]
Acha leo zilipuke
Zimeshika fiti usikubali zishuke
Niko na marafiki na nawapenda bure
Hakuna kuchangia mzinga bora tu wanichunge
Cheza na rada Onyach Pala
Na niko na zigi mingi kwanza za Amsterdam
Come nikuchome we’ pia na your madam
Walai zimelipuka kama tenje ya Saddam
Onyi we’, usipite na dem wa Dorime (Onyi tulia)
Usinikulie, ikibidi nibakishie, oh yeah
Pia mi nataka, pia mi nataka
Pia mi nataka, sherehe inakuwanga ngumu joh kuwacha
[Chorus: Ywaja Tajiri]
Oooh leo tuko kioo
Hatutaki vita hatutaki war
Tuko tipsy na tunaongeza more
Oooh leo tuko kioo
Hatutaki vita hatutaki war
Tuko tipsy na tunaongeza more
Mmmh
[Verse 2: Tipsy Gee, Ywaja Tajiri]
Ni kama ni kama ni kama mechi ilikubamba
Na ukaambia pia mabeshte cheki sa wananitaka, ah
Pia mi nataka
Makosa ilifanyika, nilitakwa nikatakika
Ile kitu nikatandika na bado tu unaniitisha
Pia mi nataka
Mtaka yote hukosa yote so itabaki umechagua
Cheki pita na mimi fathermoh ilishaungua
Man a Tipsy hata we’ uko sure ukikuja nararua
Si unajua mi ni Musa mpaka ritsi napasua
Mpenzi mtazamaji
Kageuzwa mtazamaji wa mapenzi, itabaki nikate maji
Nani leo ndio champe, wapi shangwe?
Ni ka silali zabe leo nimepata clande
Rukisha gwethe, leo nimepata senje
Denge, inabaki hadi mabrathe sema—
[Chorus: Ywaja Tajiri]
Oooh leo tuko kioo
Hatutaki vita hatutaki war
Tuko tipsy na tunaongeza more
Oooh leo tuko kioo
Hatutaki vita hatutaki war
Tuko tipsy na tunaongeza more
Mmmh
[Verse 3: Fathermoh]
Fathermoh mi sipendi madharau
Ningependa kuwa mkale mi sipendi makarao
Unangoja chain, pyramids sipendi maPharaoh
Nikikuteka sikai sana, fare sipendi fika thao
Majimaji rebellion, kumwaga kwa session
Kofi nimehata ilipigwa Shebesh—
Aliomoka paka ilibidi itembezwe
Uko na mimba ulipeana upewe kete
Slide, alafu glide
Ikiwa soft chai, naizama side
Side, ananipenda kushinda main why?
Nilipenda nyuma sana nikabackslide
[Chorus: Ywaja Tajiri]
Oooh leo tuko kioo
Hatutaki vita hatutaki war
Tuko tipsy na tunaongeza more
Oooh leo tuko kioo
Hatutaki vita hatutaki war
Tuko tipsy na tunaongeza more
Mmmh
[Outro: Ywaja Tajiri]
Pia mi nataka, pia mi nataka
Pia mi nataka, sherehe inakuwanga ngumu joh kuwacha
Pia mi nataka, pia mi nataka
Pia mi nataka, sherehe inakuwanga ngumu joh kuwacha
Produced by: Vic West
Video directed by: K Thomas
Did you enjoy Tipsy Gee featuring Watendawili & Fathermoh’s “Pia Mi Nataka” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

