Toxic Lyrikali – Hongo Ya Karao Vol. II Lyrics Ft. Mauru Gwash & Kapitani
Uuuwu (uuwu, uuwu)
Mboka
Hongo, hongo, hongo
[Chorus: Mauru Gwash]
Hongo ya karao siku hizi ni kithao, na kwa pori ni kimbao
Pole mkubwa si si si madharau, nakivuta ndio angalau
Niondekee hizo hizo hizo swara zao, niondokee hizo swara zao
Niondekee hizo hizo hizo swara zao
ABH Sound baby
[Verse 1: Toxic Lyrikali]
Ndio kutoka reggae panguza rusha na luku wembe
Naavoid tu maboyz in blue hao ni masenge
Ni challenge juu si ni shamba hao ni majembe
Sijai sundua na nachafua jiweke
Narada njege anadai niko gang affiliated
Massage mrazi na knuckles ikuwe message
Hatuogopi shit fully bad tangu ancient times
Mentor wangu akiwa maziwa sikuwa nang’am anachai
Under the influence wanadhani hatuezi thrive
Si maganji pekee inafanya nismile
Juu ya D boy mzuri mashawty wakini-define
Nikivuta line, haezi decline
[Verse 2: Kapitani]
Sijai kubali kijana anizoee
Kabla nianze jaba naekanga defence
Kuna deal nangoja iivane nieke meno fence
Kuna keki ananitrace pesa yake ndio tunaspend
We not police but tutaje ukiwa na ngori
Utamu ya ngusu inaanzianga kwa nyongi
Sijai jifanyia mtihani sina issue wakicopy
We nikanje shida ilinileta Nairobi
Hii ni top caliber, East side hooligan
Naingia na madoido so sikosangi pararira
Assets zishafika, kwa wenye wanauliza
Vitu hazijatumika sana na bei ni ya kutupa
[Verse 3: Toxic Lyrikali, Kapitani]
Mkwanja kwanza, assets ya mkono wa pili
Pole kwa mwili nikishabag mamilli
Life we living kwa jungle ya simiti
Hii ni rare ka rangi mpya Kamiti
Juu haijai kuwa rahisi
Naeza ingia kwako na teke ka polisi
Silali njaa ni nyi mtalala chini
Tuko hunting kicheko ka ya fisi
[Chorus: Mauru Gwash]
Hongo ya karao siku hizi ni kithao, na kwa pori ni kimbao
Pole mkubwa si si si madharau, nakivuta ndio angalau
Niondekee hizo hizo hizo swara zao, niondokee hizo swara zao
Niondekee hizo hizo hizo swara zao, niondokee hizo swara zao
[Verse 4: Kapitani, Toxic Lyrikali]
Mokoro alikuwa ananisomea, saii anasomea
Sa hakuna venye mbleina anamea
Kijana utanipea ama ujue mara haina spare
Si kupenda, ni hali utanisamehea
Niko na confidence, kama suicide bomber
Caution juu hadi mi naeza kutorture
Slaughter before kudeliver product
Party ni ya ghetto na sisi ndio ma sponsor
Reminder, we haffi bad everyday
Naeza sponyo party na nikose kuparticipate
Underrate si ni warena hadi ukihydrate
Ukionekana njege watajua navigate
[Chorus: Mauru Gwash]
Hongo ya karao siku hizi ni kithao, na kwa pori ni kimbao
Pole mkubwa si si si madharau, nakivuta ndio angalau
Niondekee hizo hizo hizo swara zao, niondokee hizo swara zao
Niondekee hizo hizo hizo swara zao, niondokee hizo swara zao
[Outro: Mauru Gwash]
Niondekee hizo hizo hizo swara zao, niondokee hizo swara zao
Niondekee hizo hizo hizo swara zao, niondokee hizo swara zao