Virusi Mbaya – Maradarada Lyrics Ft. Femi One & Wangechi
Listen and read Virusi Mbaya – Maradarada Lyrics Ft. Femi One & Wangechi on Doba KE.
“Maradarada” marks the first collaboration between Virusi Mbaya, Femi One, and Wangechi. Following his successful release “Have Mercy” with Scar Mkadinali, Virusi continues his strong run. The song also marks Wangechi’s return after a quiet period.
Read Virusi Mbaya – Maradarada Lyrics Ft. Femi One & Wangechi
[Intro: Virusi Mbaya]
Crazy
Wasted Gang ma
Narauka mangware naseti ki high grade
Ndio siku ianze vinare
Jah anipange before ni-leave my bed
Then I’m ready to face my day
[Chorus: Virusi Mbaya]
Maradarada si ni si tunachafua
Na wanadada hakuna wenye wanatambua
Ma wadadada hakuna zenye zinalipua
Hii si blunder ni murder lazima itawaua we!
Maradarada si ni si tunachafua
Na wanadada hakuna wenye wanatambua
Ma wadadada hakuna zenye zinalipua
Hii si blunder ni murder lazima itawaua we!
[Verse 1: Virusi Mbaya]
Simple, new and clear
Dungia Paul Simu mshow hii ni nuclear
Tulikuwa behind bars juu ya kuwaibia
Saa hii tuko in bars juu ya kuwai beer (he-he)
Watakosaje kutii na ni lazima maziwa
Watu wa kazi, na hatujawai kaziwa
Naeza kudecoratia floor, ka carpet
Naeza ku– show, ukae kaa pet
Na ka ni kikosi ya V, mikosi hazitoshi
Na ka kiko si ya V, usitrust hio moshi
Mandovu kwa pochi na bado huezi poach hii
Bila maziwa unalala na haitakuwa freshi
On toes ka mama fua
Of course mama mi huwaua
Shingo iking’ara wanachocha ati kijana amechafua
Tunawaua na tat na utamaliza ink ukijaribu kutatua we!
[Chorus: Virusi Mbaya]
Maradarada si ni si tunachafua
Na wanadada hakuna wenye wanatambua
Ma wadadada hakuna zenye zinalipua
Hii si blunder ni murder lazima itawaua we!
Maradarada si ni si tunachafua
Na wanadada hakuna wenye wanatambua
Ma wadadada hakuna zenye zinalipua
Hii si blunder ni murder lazima itawaua we!
[Verse 2: Femi One]
Tuko ndani tuko ndani
Hii si ya mabani si ya madwanzi
Hii ni ya madenge ni ya machaji
Mi ndio Femi, we’ ni nani?
Kumbe DCI sio CID
Kabla nikushikie mali lemme see ID
BBL sio BLL
Na ukitaka riba chafu cheki BNN
Yaba daba do vile daba itakudo
Hajakulipa bado basi rent itakudo
Wamekuwa wakisaka moto, watapigwa koto
Kula coffee hata kama we’ ni mormon
Kadere kuwa exotic hamwezi kuniboot
Nikitrek na Virusi, hamwezi kutuloot
Already zimeriet, cheki DNA kwa dibla
Ukimblein tunakumatu kwa Jesus
[Chorus: Virusi Mbaya]
Maradarada si ni si tunachafua
Na wanadada hakuna wenye wanatambua
Ma wadadada hakuna zenye zinalipua
Hii si blunder ni murder lazima itawaua we!
Maradarada si ni si tunachafua
Na wanadada hakuna wenye wanatambua
Ma wadadada hakuna zenye zinalipua
Hii si blunder ni murder lazima itawaua we!
[Verse 3: Wangechi]
Wangechi hamna option
Ka mi ni aunty, Virus ndio uncle
Hesabu ni za minus, mtoi wa campo
Hamwezi stop hii flow hata na tampon
Mnacheki porn mingi hadi mnapostpone
Nakuwacha mabablas mkinicancel (Kansoul)
Mayouth wako jobless no hustle
And imma stay fly hio ndio caption
Instead of kuongeza doh dem anaongeza matako
Nimecheki donda wanasema tuwainuke
Big bunda mpaka nigga agoroke
Your best rapper babe egesha nimuoshe
Zangu ni real zao zote ziko coated
Tembeza mboka mpaka mbogi iomoke
Kutoka Kilimani niko maoroshe
Maradaradarada, ama niwatoke
[Chorus: Virusi Mbaya]
Maradarada si ni si tunachafua
Na wanadada hakuna wenye wanatambua
Ma wadadada hakuna zenye zinalipua
Hii si blunder ni murder lazima itawaua we!
Maradarada si ni si tunachafua
Na wanadada hakuna wenye wanatambua
Ma wadadada hakuna zenye zinalipua
Hii si blunder ni murder lazima itawaua we!
[Outro: Virus Mbaya]
Narauka mangware naseti ki high grade
Ndio siku ianze vinare
Jah anipange before ni-leave my bed
Then I’m ready to face my day
Produced by: OTG Sonic Sounds
Video directed by: Frank Thee Director
Did you enjoy Virusi Mbaya featuring Femi One & Wangechi’s “Maradarada” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
