Blinky Bill & Muthoni Drummer Queen – Bazu Lyrics
Wollan
Wollan (wollan)
[Verse 1: Blinky Bill]
Leo sifanyi job ka wasee wa gava
Weekend mjuange mi hukuwa ghost worker
Siko kwa ofisi but niko within
Mtu akidai niko out and about in the couch
Hili ni bonge la bounce
Rada ni panda kushuka nasuka mzuka
Leo watajua kamenuka
Leo watajua kamenuka
Mkono moja fegi, mkono moja jegi
Aha! ya beer, na pia
Majani ya kerea
Buda ekelea
Aterere, aterere, aterere (aterere)
Mboga mi napenda ni terere (ni terere)
Kucheza tunacheza kama Pele (kama Pele)
Ngoma ikidrop manze, tutasele
[Pre-Chorus: Blinky Bill]
Leo tuko yadi tunazienda (tunazienda)
Vibe imeshika tunaziteka (tunaziteka)
Leo tuko yadi tunazienda (tunazienda)
Vibe imeshika tunaziteka (tunaziteka)
[Chorus: Blinky Bill]
Kibazu, kibazu
Kiba-kibazu, kibazu
Kiba-kibazu, kibazu
Kibazu, kiba-kibazu
[Verse 2: Muthoni Drummer Queen]
Moto sana, moto sana
Nawashikisha kama jaba
Nawazungusha mara saba
Nawaacha wote mmeporomoka
Hii ni pombe gani?
Hii ni pombe wasotaji hawapatangi
Sherehe haitaki utiaji
Tunakufunza ukileta ujuaji
Ushaskia
Usibishane na ndovu nipishe njia
Jina kubwa fuatilia
Mazishi ya mambleina hudhuria
[Refrain]
Eh! eh! eh! eh!
We kamu we kamu we kamu
Tupitie like this
Tuivishe form ya ??
[Pre-Chorus: Blinky Bill]
Leo tuko yadi tunazienda (tunazienda)
Vibe imeshika tunaziteka (tunaziteka)
Leo tuko yadi tunazienda (tunazienda)
Vibe imeshika tunaziteka (tunaziteka)
[Chorus: Blinky Bill]
Kibazu, kibazu
Kiba-kibazu, kibazu
Kiba-kibazu, kibazu
Kibazu, kiba-kibazu
Produced by: Manch!ld
Video by: Backbench Animation
