Lyrics > Wakadinali – Chizi Lyrics Ft. Kitu Sewer

Wakadinali – Chizi Lyrics Ft. Kitu Sewer

Wakadinali - Chizi Lyrics Ft. Kitu Sewer

Listen and read Wakadinali – Chizi Lyrics Ft. Kitu Sewer on Doba KE.

“Chizi” is the second song on Wakadinali’s Victims of Madness 2.0 album.

Read Wakadinali – Chizi Lyrics Ft. Kitu Sewer

Big Beats Afriq

[Chorus: Kitu Sewer, Sewersydaa]

Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena

Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah, chizi karogwa tena

[Verse 1: Kitu Sewer]

Chizi karogwa upya, na mtaa imebaki kuwa curious
Juu ule alimmanga, yule mrogi pia alinyuria
Sa wanashindwa niaje, juu amerudi na mzinga
Alafu kila kitu inakaa ka makali sa ni ndufya

Panda sol so ladder, ki do-re-mi so
Fala atinge mjido kabla aseme ti-do
Check out how malice hudestroy mali
Weka feelings za biz mbali, gigs hapati, bills are piling

[Verse 2: Sewersydaa]

Ndio ni mimi still I’m cool, mziki kwangu ni kama tool
Yet on track ka Kiptum, na-fight na drums ka Kidum
Spray mamende na ki-doom, vunja hio chawa Kasipul
Heri kaswende asikose P2, General wa vuguvugu

I’m back from pen’ with no cent, imagine saa hii joh siwezi party
Chizi fresh ka Chidi Benz ndio nimeachiliwa joh hanaku uradi
Plus Clark amedai he Kent, next time ntakufia huko ndani
Juu ya lack of knowledge na stress ndio inafanya my people perish

[Chorus: Kitu Sewer, Sewersydaa]

Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena

Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah, chizi karogwa tena

[Verse 3: Scar Mkadinali]

Hamuezi share sembe na misheveve
Huku njege ndio hutoka teke
Unga ya Pembe ndio najua pekee
Ukianika tenje, tapo juu ya mbege

Huyo dem ni mrisky mwache atakuumiza liver
Tunapiganga wera Nine to Five na hata hatupati silver
Alikuwa ni kamagera saa hii ni mwaki naskia anaendesha Bimmer
Chizi mkubwa ni yule ako na audacity ya kupatia chizi mimba

[Chorus: Kitu Sewer, Sewersydaa]

Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena

Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah, chizi karogwa tena

[Interlude: Kitu Sewer]

Na by the way, umeona ule Jesus ye huwanga kwa scripture tofauti sana
Na yule anafaa kuwa kwa fame. Lakini hata hakuwa anaipenda na by the way….

[Chorus: Kitu Sewer, Sewersydaa]

Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena

Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah, chizi karogwa tena

YouTube player
Wakadinali – Chizi Ft. Kitu Sewer

Produced by: Ares66

Did you enjoy Wakadinali featuring Kitu Sewer’s “Chizi” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts