Lyrics > Wakadinali – Last Dance Lyrics

Wakadinali – Last Dance Lyrics

Wakadinali -Last Dance Lyrics
[Chorus: Domani Munga]

Walai saa hii for the last time, nataka last chance
One dance tu ndio naneed
Tuzitoke tu mdagla, kalamba down
Siezi mi angusha team

[Verse 1: Domani Munga]

Yoh, zetu zetu me I do it si una-do it
Baby please bend on your knees tend to my needs
Neo in the Matrix inaglitch
Wazazi wametii juu warazi ni kidii

We ndio ulishinda but mi nacelebrate
Nilivunja mkono ya kumasturbate saa hii nacelibate
Kijana East nathombotha West Dagoretti
Usilose hope, unaeza ni date

[Chorus: Domani Munga]

Saa hii for the last time, nataka last chance
One dance tu ndio naneed
Tuzitoke tu mdagla, kalamba down
Siezi mi angusha team

Walai saa hii for the last time, nataka last chance
One dance tu ndio naneed
Tuzitoke tu mdagla, kalamba down
Siezi mi angusha team

Walai saa hii for the last time, nataka last chance
One dance tu ndio naneed
Tuzitoke tu mdagla, kalamba down
Siezi mi angusha team

[Verse 2: Scar Mkadinali]

Stori bore bore sijikuti
Nikizitoka na dem wangu mlunje everything isikuti
Pwi pwi ndio mnuse mimi sijishutii
Hajui jui mi ni nani CV piga booti

Wanauliza who’s that?
Street mi ni striker bro hucheza fullback
Dem yako ni keeper alitoa ball kubwa
Mafans zikishika wanatutusi umbwa!

We si bro, we ni nephew
Usifa-usifanye nijam nikupee curfew
Wanashinda wakiteta
Ni nini huyu kijana mfupi anafanyaga na wasichana warefu

[Chorus: Domani Munga]

Saa hii for the last time, nataka last chance
One dance tu ndio naneed
Tuzitoke tu mdagla, kalamba down
Siezi mi angusha team

Walai saa hii for the last time, nataka last chance
One dance tu ndio naneed
Tuzitoke tu mdagla, kalamba down
Siezi mi angusha team

Walai saa hii for the last time, nataka last chance
One dance tu ndio naneed
Tuzitoke tu mdagla, kalamba down
Siezi mi angusha team

[Verse 3: Sewersydaa]

Mamaa anapiga na nimemshow last warning
Kuna ngoko ananidai na simuoni
Kuna poko anauliza mbona mi simuombi
Na niko mafuta naona tu mobils

DJ usiscratch hauoni unatumix
Siste ako flat anaona acheze chini
Big butty gyal anadunda na mini
Real huwanga ni watu wengi hawaniamini

Scene after scene, sema vipindi
Kuna jeshi ya bombay na si ati wahindi
Dingis na ngwero pia leo wako nditni
Seti hio ngwelo hapo mbele ya mabiggie

[Chorus: Domani Munga]

Saa hii for the last time, nataka last chance
One dance tu ndio naneed
Tuzitoke tu mdagla, kalamba down
Siezi mi angusha team

Walai saa hii for the last time, nataka last chance
One dance tu ndio naneed
Tuzitoke tu mdagla, kalamba down
Siezi mi angusha team

Walai saa hii for the last time, nataka last chance
One dance tu ndio naneed
Tuzitoke tu mdagla, kalamba down
Siezi mi angusha team

WAKADINALI – LAST DANCE

Produced by: Obwar

Video directed by: AntyVirus AV

Similar Posts