Wakadinali – Nyuria Lyrics
Listen and read Wakadinali – Nyuria Lyrics on Doba KE.
“Nyuria” is the sixth song on Wakadinali’s Victims of Madness 2.0 album.
Read Wakadinali – Nyuria Lyrics
Big Beats Afriq
[Verse 1: Sewersydaa]
Na hio English acha kelele, in power still ka M7
Degree yangu ya Makerere, ka sina Jaguar sina Starehe
Starring bado mi kadere, nitume kwa denge wako ka hauna afere
Eeeh ndio hizo matarehe, ka uko na yangu si unijenge
Hatutaki kuskia za baadeng, hatuwezi dishi mapenzi
Tanafunga mpaka che, fake livity ya Mackenzie
Morio ngori waist imefura, toa hio pori msee unaeza tumwa
Morning glory seti kistula, kichele imo itisha ma sh! sh!
Macho imenyanya ka stoner, naona kila kitu vulai
Mapua imeganda ka soldier, nasmell danger hizi riai (area)
Si unajua devo haezi ku-strike from afar
Hata ka ni beshte yako, make sure unakaa rada
Chakula ya bibi yako aionje akishakaranga
Mi na bruv no bad blood, huskii ni vile sinanga trust
Kaa vipoa unaeza tundurwa, we’ kwanza inakaa ni ka umefura
Ningekua we’ ningejisunda ukipatana na si tukizurura
Yeah uh, uh
[Chorus: Munga Domani]
Cheki morio emoji ni za ma s-skrrr
Ka ng’ombe ya Maasai hatuchoki venye tunazurura
Wah mapua zangu husmell danger
Aha, wah unaeza nyuria
Cheki morio emoji ni za ma s-skrrr
Ka ng’ombe ya Maasai hatuchoki venye tunazurura
Wah mapua zangu husmell danger
Aha, wah unaeza nyuria
[Verse 2: Munga Domani]
Like Jesus in the manger, mapua zangu zilismell danger
Ju nikiroll na mbogi mi na ganji mi huitwa muoga
Nigotee ka oga, bafu chafu naoga, Yujiro I’m an ogre
Footworks but bado nafuatwa, huh
Ju sijai kukosa kunyadi dem anaitwa Fatuma
First, I appreciate the honesty
Though, gotta put priorities first
Enda uchoche, enda ununulike
Dunga Air Force, dunga earphones
Your mouth well learn how to fetch
House to let, learn how to rent
Learn how to blend, how to keep pace setting, how to trend
Niaje Dosh, nakupenda sana siku hizi unanibore
Hadi ulichange jina unaitwa Yujiro
Ukiinzagi mniita wanakuita Otero
Dosh dosi boss bossy
Kibare si lazima niko na ma minions woishe
Swerving, Porsche
Ka uko na biashara ziko na fudhii
Mthi
[Chorus: Munga Domani]
Cheki morio emoji ni za ma s-skrrr
Ka ng’ombe ya Maasai hatuchoki venye tunazurura
Wah, mapua zangu husmell danger
Aha, wah unaeza nyuria
Cheki morio emoji ni za ma s-skrrr
Ka ng’ombe ya Maasai hatuchoki venye tunazurura
Wah, mapua zangu husmell danger
Aha, wah unaeza nyuria
[Verse 3: Scar Mkadinali]
Ukisikia “chk chk!” kenye inafuata ni pa!
Stalker nduki, stupid rookie, mi kunipenda si must
Studio cooking, cooking, cooking, cooking, bangi ndio gas
Comments fupi fupi, deki ndio large
Kwa-kwani bitch hukumbuki ukicum-ingi first
Last time I had my dick in your pussy, thumb in your ass
Kitanda ni chuku! chuku! chuku! ye ako, Scar de relax
I swear I wanna fix my bullshit, dhambi za past
Uh, Scar de ni controller, I break her heart, you console her
I told a peng ting kuwa mpole, I get the pay bill, we’ order
I mix the Benylin na soda, I crush the Molly, then I go there
How can a rong G stay sober? How can a rong G stay sober?
Uliza mabrathe, mi huwatoa mawe lakini the media never shows that
Ni noma everyday, especially ka uko na madevo wawili kwa shoulders
I hustle and I pray juu round hii nimewasoma
Na haturudi jail, hio ni mambo ya throwback
[Chorus: Munga Domani]
Cheki morio emoji ni za ma s-skrrr
Ka ng’ombe ya Maasai hatuchoki venye tunazurura
Wah mapua zangu husmell danger
Aha, wah unaeza nyuria
Cheki morio emoji ni za ma s-skrrr
Ka ng’ombe ya Maasai hatuchoki venye tunazurura
Wah mapua zangu husmell danger
Aha, wah unaeza nyuria
Produced by: Ares66
Video directed by: AntyVirus AV
Did you enjoy Wakadinali’s “Nyuria” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

