Lyrics > Wakadinali – Rong Cypher 3.0 Lyrics

Wakadinali – Rong Cypher 3.0 Lyrics

Wakadinali - Rong Cypher 3.0 Lyrics

Listen and read Wakadinali – Rong Cypher 3.0 Lyrics on Doba KE.

“Rong Cypher 3.0” is the thirteenth song on Wakadinali’s Victims of Madness 2.0 album.

Read Wakadinali – Rong Cypher 3.0 Lyrics

Big Beats Afriq

(Yoh! yoh! yoh!)

[Verse 1: Sewersydaa]

Huku kukiachana, huko kuna ma-runner
Ukibanja unakandwa, tunakuwacha umeganda
Na me si Gangsta juu niko na rasta
Hii ni dini ya ma-hustler, ikishikana na msambwa

Tuko na ma-goons for hire, na ma set supplier
Na wako undercover, ukimess unakan’gwa
Nakuchanua tu prior, si ni watu wa makaya
Zinawaka kwa nganya tukiskia more fire

[Verse 2: Domani Munga]

After paper punch na stapler kwa payslip Ohangla cheza
Ka si Pesa pap, M-Pesa, Mshwari na bangla pesa
Ukichekesha bank ni ka kurushwa hadi na buggler pesa
Utakesha ulipwe peanuts, compee ya Blueband na Zesta

Hivo vile mnakuja kuja utajua a computer ndio future
Jaza Bet ni mambo ya online, ah, unajiumanga kucha
Gikosh mamtush, luku fisa nazizungusha
Hapa shukran ndio narudisha baada ya jicho nyanya shuksha

[Verse 3: Scar Mkadinali]

Unaeza 2-bar, mi ndio realest washaiskia
Professor matire hao wengine ma first year
Komesha mafeelings, na uketi chini
Nikuseti maforeign saa zingine mashash pia

Msupa ile paki umenikula
Usiniache ntaku*a mi si Alfred Mutua
Kwanza ukinileteanga nonsense
Huyo chali yako ndio anachorangwa na naccet kwa sura

You better check into my CVs
I’m not good with this internet business
Yoh, nameditate nikiwa matire
Naget mood ya kuspit hizi mafeelings

[Verse 4: Sewersydaa]

Waizi wa kaunda watakuzunguka hapo rounda
Hio ndio system, kila yout anataka kukafunga
Ubaya tuko masteam ni ka si huishi sauna
Hatuwezi teta lakini inatusaidianga kutunga

Jaza bet labda unaeza manga fresh
Nalipia session kwa Ares alafu murder case
Unaskia ka ni kuenda, si huenda na beat
Lakini saa hii tuko area kama length and width

Kazi inakuwanga tu kutema na kuuza maCD
Ju tungeumeria, ka tungebaki kwa streets

[Verse 5: Domani Munga]

Bismillahi, life inaenda fiti siku hizi wako like “these niggas”
Kazi push kushinda twenty-fourth Dec ina Christ Jesus
No face no case, man I’m like ninja, yoh yoh yoh

Hero ni a hero, hero huwin na coke zero
Mroro japo kuro, corona fanya ile kitu
Acha niwashow, wazi wazi huu mwezi
Usitembee vicrazy usiku ah masaa za wezi

Kuzipushingi chini ya mwezi, mwisho wa mwezi
Nikushow tu wazi wazi mi sijawai kulishangwa na mzazi

[Verse 6: Scar Mkadinali]

No fear I’m a proud Luopean
Wanasema wanapenda ile sound nawapea
Wasupa wetu hapa kwa ground tunawashare
Usijam juu ya handout nilisahau kuwapea

Uh, nikiwanga farmer ni rahisi (rice-y) kunitusi
Coz dem boy a pagan, paedophile, pussy
Siku za kahawa na pishori
Me hutoka makarao hata kama me sina ngori

So baby if you love me you show me
Niliambia broski nitakuwa hapo if you call me
Na hizo cypher zote mmetoa
Shiet, zinataste ka matoke imepoa

[Verse 7: Sewersydaa]

Magoa wanafanya study ikuwe kama battle of Adoa
Tuna Maradonna hii Kenya but wanangoja ma-donor
Ukikam vibaya unaponwa, huku majanavi wagonjwa
Manabii kwa corner tuko posted tukiwasoma

Utalala mteja na hio tenje ilipe keja
Mateja wako base wanasere na mapeng
Na mapesa zinaflow juu ya ku-do shit napenda
Niite Skengman, sniper, nikikuzoomia kwa penthouse

Nainyongea hapo Statehouse, wananiitanga stepper
Tukiroam, no pressure, mi Dosh na Tepla
Naongea kuhusu paper, huyo ndeng’a atakutepa
Mandom, ketepa, na ma **** **** kwa meza

[Verse 8: Domani Munga]

Kulenga street mbrrcha ndani ya nare ni kipyenga
Usipokata keki fiti hapa horror ndio sinema
Contemplating tu vile nitawatoka wakirenga
Jaza bet, ah ah, miti kinde iko kinena

Yoh! The seed never explains to a flower
Nishaiuziwanga marikiti nikapeleka ghetto umalaya
Nevertheless unaeza kang’wa
Juu hizi streets me ni effortless Gangsta

Ni kama washangajiua, darkness pon dem
Wanajishaua, straight on the grave
Tunawabebeanga maua, Nagasaki usiku sacco
Matwana culture unajua? (yoh, yoh, yoh)

Hivo unajionanga umeunga, hio sasa ni umama
Umeshinda manguna wangu, kama watano haga
Biz ni zote zote, Mad Munga nazicharaza
Mdem aliinsist Wuzu manze hapa hata mashida mwaga

[Verse 9: Scar Mkadinali]

Yoh, just another day for us
Ya kuririma at the same time niko waks
Cheki, school boy relax
High noon Nairobi na by two niko Naks

Kupull up na magroupie sina entourage
Tuliingia na madoobiez kwa event ya baas (Abbas)
Hizi mashida hata sizifeel
Tulichoma ndom kwa field siku za visiting

Waliniangusha, sitaji majina
Si tukipurura, maG’s mzima
Niko Kempinski juu ya chips na liver
And I still like to eat the sardines for dinner

[Verse 10: Sewersydaa]

Mnidiscuss na nyi’ huniskia tu
Next time joh unabanja ulizia Tangut
Tunaishingi kupangwa just see us through
Kuna promoter alimangwa this year tu

Na-navigate D na Vigeti
Eastleigh mapinji ni wa vibeti
Harry niko na Betty, Nadia na kina Mary
Ni mristi ndio hio Paybill mwenyekiti ka Museven’

[Verse 11: Scar Mkadinali]

Hata kiachana ne, machoki na lele
Itoka amerent utatoka na madent
Rhyme na Jaza Bet, line napiga neat
Bro ni mnyama holla vet, ye’ hufanyanga yes

Napiga mosh’ na kizangila
Hizi maufala si hupost ndio zinalipa
Nairobi mpaka coast nimekubalika
Na of course tuko mbali far

YouTube player
Wakadinali – Rong Cypher 3.0

Produced by: Ares66


Did you enjoy Wakadinali’s “Rong Cypher 3.0” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts