Lyrics > Zzero Sufuri – Kudonjo Kudunda Lyrics

Zzero Sufuri – Kudonjo Kudunda Lyrics

Zzero Sufuri - Kudonjo Kudunda
Kudonjo Kudunda

Listen and read Zzero Sufuri – Kudonjo Kudunda Lyrics ft. Breeder LW, Tipsy Gee & Kushman on Doba KE. “Kudonjo Kudunda” is a song about going out and having fun. On the song, each artist describes their ideal fun time.

This marks the first time Zzero, Breeder, Tipsy Gee and Kushman link up on a song.

Read Zzero Sufuri – Kudonjo Kudunda Lyrics ft. Breeder LW, Tipsy Gee & Kushman

[Intro: Zzero Sufuri, Tipsy Gee & Breeder LW]

Kama sos mi ndio sos mi ndio—
Na ni man a—
Man a—, Man a Tipsy Gee
Zzero
Ah, Big Baba

[Chorus: Zzero Sufuri]

Ndo kudonjo, ndo kudunda
Weekendi inanibambianga dunda
Ndo kudonjo, ndo kudunda
Tot moja na imeshaanza kunirunda

Ndo kudonjo, ndo kudunda
Weekendi inanibambianga dunda
Ndo kudonjo, ndo kudunda
Tot moja na imeshaanza kunirunda

[Verse 1: Zzero Sufuri]

Ndani ya chain ka shingo
Nimedunga bling moja nono hadi haiwezi kujikunja
Ndo kudonjo, ndo kudunda
Nikichuna ka ndovu ni wapi nilikasunda

Nimekula fiti, nimedimbuka
Nshakula kikitu, zimelipuka
Ni ka ball ya tennis joh vile tunadunda
Tenje natumia ni matunda

Single sikai tena, na-trace Huddah
Ule ni nani kwa corner ako na mbuda
Aluta ndo inadonjo kudunda
Nyongi iwe big staki kuchomeka kucha

[Refrain: Breeder LW]

Gotha, gotha tena
Strictly makwela no other gender
Gotha, gotha tena
Petite ndo inaweza but bigi ndio napenda

[Verse 2: Breeder LW]

Selekta, nini hizo unacheza
Ka umeshindwa na mboka we’ sema tueke Alexa
One lege twende, rusha mkono mbele
Gat ni alele, nakuwanga fyat sele

Aluta inadonjo ka wet fry na Royco
Foreign za kizing na zimetoka Kiamaiko
Chingri gwethe, big baba kwa disco
Nina wasapere ka ng’at na wote wanaitwa Shiko

Shiko wa Naks, Shiko wa Kiambu
Shiko wa Juja, Shiko wa Embu
Huh, kuna Shiko mi sijui ye’ hu-do
Nyap itafanya ruracio inakuja very soon

[Chorus: Zzero Sufuri]

Ndo kudonjo, ndo kudunda
Weekendi inanibambianga dunda
Ndo kudonjo, ndo kudunda
Tot moja na imeshaanza kunirunda

Ndo kudonjo, ndo kudunda
Weekendi inanibambianga dunda
Ndo kudonjo, ndo kudunda
Tot moja na imeshaanza kunirunda

[Verse 3: Tipsy Gee]

Ndo kudonjo kudunda na pori full of bundas
Kwela ako na bunda ashaniita ja ati sugar
Shumpal, chunga kwenye bei tunarusha, thutha
Mi huwaga na bike na na—

Leo natoka nikiwa tipsy, pori inabaki zero
Wanasema ni risky venye mi niko single
Simple, mi nawateka na sina dimples
Ego, iko juu ju buda bunda iko

Ati cup after cup ongeza liquor madam
Naskia zangu zimecatch, shika glass piga flush
After bash nikikam ni nakam tu kunyam
Hide your girls mister man, Tipsy ameland ati Tispy ameland

[Chorus: Zzero Sufuri]

Ndo kudonjo, ndo kudunda
Weekendi inanibambianga dunda
Ndo kudonjo, ndo kudunda
Tot moja na imeshaanza kunirunda

Ndo kudonjo, ndo kudunda
Weekendi inanibambianga dunda
Ndo kudonjo, ndo kudunda
Tot moja na imeshaanza kunirunda

[Verse 4: Kushman]

Masaa za reggae ndo tunaingia dunda
Tuko jaba tumedunga combato na avunja
Style tuna-dance ni deadly deadly
Ni hizo masimu na vibeti zimetuleta dunda

Ndo ku-do-do-donjo dunda
Nimetoka kufundisha Gachagua kudunga
Nimekam na ubaya, ndo kudonjo kudunda ki-Omanyala mbio mbaya
Ni kubaya

Kitu ni tamu na inadonjo
Chakula ya kuiba ni tamu ikikuliwa kwa lojoo
Ah, ndo kudonjo donjo ndo kudunda
Naingia niki-dance na tumbo ka ya kabuda

[Outro: Gwethe TV]

Nko na rambo na ndiambo
Substance over hype
Mastyle ni deadly deadly
Deadly deadly

YouTube player
Zzero Sufuri – Kudonjo Kudunda ft Breeder LW, Tipsy Gee & Kushman

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts