Lyrics > Abbas Kubaff – Chapaa Lyrics

Abbas Kubaff – Chapaa Lyrics

[Intro]
Mi nalike chapaa vile we’ hulike chapaa (yeah, ha-ha)
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar (round hii niko serious)
Tshazi twende kazi
Mi nalike chapaa vile we’ hulike chapaa (ye ye yeah)

[Verse 1]
Doobeez ni mchizi mi ni msanii toka Civo
Sisikiki sishikiki stishiki na vitisho
Naenda job na jeans juu nimevalia tisho
Na tangu kitambo mi huwa, hivo-hivo

MC’s wana ji-do kumbe hawan hata dough
Dough zimefanya ati watu mapembe zigrow
Wanapenda kujigamba na kumbe hawana hata flow
Traffic haijabamba mzeya, basi mbona unaenda slow?

Nairobi ukisleki basi jo utakuta door
Utakutwa na mtu tisa ukitoka Carnivore
Chuma kwenye kichwa mzeya, ati juu
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar

[Chorus]
Mi nalike chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi nalike chapaa, mi na mi na-like chapaa

[Verse 2]
Nafika Coast ku-cruise ndani ya 4 by 4
Naenda kupiga show, CDs na ma-casso
Mfuko nimesota mzeiya joh niko na soo
Lakini haina noma, I hope mzeiya uko po-a

Seti hii kwa player juu kapuka imeniboo
Tshazi twende kazi wacha jo niwapeleke slow
Wacha niwashow jinsi ya kumake doh
Stage nikifika nipe mbili za vodo

Oh! Oh! Oh! Cheki ma-fovo
Cheki hizo macho jo mzeiya utasema “Oh!”
Bora tu nifike mzeiya nipige show
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar

[Chorus]
Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa

[Bridge]
Watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa
Ni kama sina chapaa (We umesota!)
Wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa
Hawezi kuwa star (Abbas umesota!)

Mi nalike chapaa vile we hu-like chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar
Mi nalike chapaa vile we hu-like chapaa
Chapaa, chapaa, chapaa

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *