Ares66 – Teamkumallo Ft. Wakadinali Lyrics
Listen and read Ares66 – Teamkumallo Lyrics Ft. Wakadinali on Doba KE. “Teamkumallo” was the first single off Ares66‘s debut album Gangsta Points.
“Kumallo” is a sheng term that means to finish, and in the song’s context, it is loosely translated to mean “The finishing team / the team that finishes.”
This marks one of many projects Ares and Wakadinali have worked together on.
Read Ares66 – Teamkumallo Ft. Wakadinali Lyrics
Big Beats Afriq
[Pre-Hook: Ares66]
Pigwa mengo na crew inatanaswa
Doch, Scar, Aress nimecome na Sewer
Rende ni rong na bado inasumbua
Ting badi malo
[Hook: Ares66]
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
[Verse 1: Domani Munga]
Vigilant Avatar arrow head, airbender
I’m still a problem to Avengers
Moving like a stunner Power Ranger
Njugu nikichana na mavela
Ndugu akikutana ni kuwabeba
Juu hizi, si njaro za kitoto za ki-teenie
Busy hizi streets mangoto mingi si ati nini
Team kuwamallo kuwamaliza kuwafini—
Easy still maviboko mingi yaani beatings
[Verse 2: Ares66]
Cheki M-Chwapes nakudingli
Mamii, huyo ni fresher hananga degree
Minimal pressure ka umetia bidii
Mwalimu wa Maths atumwe chaser ikibidi
Na tukizidi, saii ni kujiamini
Kama mpoa amedunga heels na mini
Team ni ya kumallo kumallo, na si ati nini
Ni rah rah, wazing walale chini
[Pre-Hook: Aress 66]
Pigwa mengo na crew inatanaswa
Doch, Scar, Aress nimecome na Sewer
Rende ni rong na bado inasumbua
Ting badi malo
[Hook: Ares66]
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
[Verse 3: SewerSydaa]
Hii ni raw, bado hata haijapitia doc
Ilishasink relationship before i-dock
Toa lock, toa doh hakuna haja ya ki-riffle
Scarecrow ikitry kuinvade shamba yako
Issa ganja party, who’s that na ki wuz gun
Huku hadi chai utarushwa
Hauna bahati, haufai kuzusha, Umbwa!
Pull up next time utachujwa
[Verse 4: Scar Mkadinali]
Yeah, pull up there sexe (sexy), mi na kina Tete
Scar de bado shekhe, tabia zangu pette (Petty)
Ndom zangu kete, make it then we fake it
Denge hawezi dunga tenje mpaka ifike safe days
Uh, naskia ananidai for real
Anadai yake ni free ati haiko biz
Nisiwaste time niende nikabuy condiko
Karibu nimpatie logbook na title deed
[Pre-Hook: Ares66]
Pigwa mengo na crew inatanaswa
Doch, Scar, Aress nimecome na Sewer
Rende ni rong na bado inasumbua
Ting badi malo
[Hook: Ares66]
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
Team kumallo kumallo
Team ni ya kumallo (mallo)
Produced by: Ares66
Video directed by: Ricky Bekko
Courtesy: Keja Ya Capo
Did you enjoy Ares66 featuring Wakadinali’s “Teamkumallo” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

