Gody Tennor – Kuja Ivo Lyrics
Listen and read Gody Tennor, Tipsy Gee, YBW Smith & Sean MMG – Kuja Ivo Lyrics on Doba KE.
Produced by Soundkraft, the Arbantone song marks Gody and Tipsy Gee’s second feature of the year following “Mapeng (TikTok divas)” earlier this month.
“Kuja Ivo” samples Juacali’s 2007 classic “Kwaheri” featuring Sanaipei Tande.
Read Gody Tennor, Tipsy Gee, YBW Smith & Sean MMG – Kuja Ivo Lyrics
Like a boss
Aah alaa!
Siku mingi joh
Magi Magi
Halloo!
Gody Tennor asapa!
[Pre-Chorus: Tipsy Gee]
10 outta 10 kaa ni rate
Mamaa joh ako best
Na mamaa ni peng
Bila dent, nyuma pia ako blessed
Alinicheki gram akapenda na akanitext
Anadai kucome then acome ndio nicome
[Chorus: Gody Tennor]
So baby kuja ivo
Usiworry baby doll kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo ivo
Babe kuja ivo
So baby kuja ivo
Usitense baby girl kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo ivo
Babe kuja ivo
[Verse 1: YBW Smith]
Ah, alaa!
Kuna venye najifeel complete
Tukiwa na wewe ndio nikuite my Miss
Akinipa hio kiss, Mathematically —
Cheki, kitu ya first, achana na ule fyat
Ati, juu nakudai nilisare kwote kwote
Luku best tukiachilia hit
Tumezoza kila chuom toka Kitee hadi Ngong, ha
Niko ma-lean, lap Kile kwa maG
Physically fit nime-drip mi ni crip
Tunajua hunanga fom ukijipaka cologne
Ukisleki huezi note, ushabadilisha flow
Manze kitu hunibore ni madem hawana doh
[Pre-Chorus: Tipsy Gee]
10 outta 10 kaa ni rate
Mamaa joh ako best
Na mamaa ni peng
Bila dent, nyuma pia ako blessed
Alinicheki gram akapenda na akanitext
Anadai kucome then acome ndio nicome
[Chorus: Gody Tennor]
So baby kuja ivo
Usiworry baby doll kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo ivo
Babe kuja ivo
So baby kuja ivo
Usitense baby girl kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo ivo
Babe kuja ivo
[Verse 2: Sean MMG]
Nacheki baby kuja hivo
Juu ka ni luku unapiganga na finyo
Na ni kapoa kazuri bila maringo
Na ye hukuja kwangu akitaka manze tumingle
Juu niko single, juu fom zangu indoors
Mi hupiga gode na nashukisha na Eno
Na zimeshika anadai niteme jing jong
Mpoa ako ready na ashaanza kuchezesha ding dong
Juu hii ni hit song
Ati luku best hata ka umetokea na vest
Na namanifest kukupenda kushinda your ex
Baby kaa ni test ukikuja kwangu basi text
Juu ukifika unaeza pata niko na the rest
[Pre-Chorus: Tipsy Gee]
10 outta 10 kaa ni rate
Mamaa joh ako best
Na mamaa ni peng
Bila dent, nyuma pia ako blessed
Alinicheki gram akapenda na akanitext
Anadai kucome then acome ndio nicome
[Chorus: Gody Tennor]
So baby kuja ivo
Usiworry baby doll kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo ivo
Babe kuja ivo
So baby kuja ivo
Usitense baby girl kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo ivo
Babe kuja ivo
Produced by: Soundkraft
Did you enjoy Gody Tennor featuring Tipsy Gee, YBW Smith & Sean MMG’s “Kuja Ivo” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

