Iyanii – Hallelujah Lyrics
[Pre-Chorus]
Yesu ahera inya, gi chunya duto
Poka neno ng’ato machalo kodi
(Yesu ahera inya, gi chunya duto)
(Poka neno ng’ato machalo kodi)
Yesu nakupenda na moyo wangu wote
Sina mwingine kama wewe
(Yesu nakupenda na moyo wangu wote)
(Sina mwingine kama wewe)
Yesu ahera inya, gi chunya duto
Poka neno ng’ato machalo kodi
(Yesu ahera inya, gi chunya duto)
(Poka neno ng’ato machalo kodi)
Yesu nakupenda na moyo wangu wote
Sina mwingine kama wewe
(Yesu nakupenda na moyo wangu wote)
(Sina mwingine kama wewe)
[Chorus]
Halle, halle
Halle, hallelujah
Hallelujah
Halle, hallelujah
Halle, hallelujah
Halle, hallelujah
[Verse]
Mungu utukuke
Tukipanda ngazi baba tusishuke
Baraka na zishuke
Mpaka adui wangu wote washtuke
Bariki bidii yangu
Bariki kazi ya mikono yangu
Wakumbuke na wenzangu
Wasikose riziki Mungu wangu
Ooooh ooh yesu ahera (hera)
Nyasaye okweo ahera (hera)
Ooooh ooh baba ahera
Nyasaye ndekumao ahera
[Pre-Chorus]
Yesu ahera inya, gi chunya duto
Poka neno ng’ato machalo kodi
(Yesu ahera inya, gi chunya duto)
(Poka neno ng’ato machalo kodi)
Yesu nakupenda na moyo wangu wote
Sina mwingine kama wewe
(Yesu nakupenda na moyo wangu wote)
(Sina mwingine kama wewe)
[Chorus]
Halle, hallelujah
Halle (dala dala wa)
Hallelujah
Dala apolo malo
Halle (dala dala wa)
Hallelujah
Dala apolo malo
Halle (dala dala wa)
Hallelujah
Dala apolo malo
