Lyrics > Zzero Sufuri – Otero Lyrics Ft. Toxic Lyrikali

Zzero Sufuri – Otero Lyrics Ft. Toxic Lyrikali

[Intro]
Joh!
Yoh, yoh
Zzero
Kama sos me ndio sos, mi ndio boss mi ndio

[Verse 1: Zzero Sufuri]
Si lazima remote na tenje so unaeza icut
Hupenda kupanda uber lakini nduthi ni fast
Leta kwanza ikiwa neat tot ya kwanza ipige flash
Dj ka huchezi gotha tunajimaliza kwa bash

Ukijileta kwangu si lazima, sio must
Hukuwaga nimekudigi, hukuwaga nimeku-crush
Huskii naanza na mwanzo nawaachia wa last
Si tulishaingia future tumewacha wako past, twende

Ati duck ndani ya gari hio ni tough
Ushapatiwa mic mbona tena uanze ku-shout?
Si ndio bado tunatrend hatuifanyi juu ya clout
Unabonga kwanza sana ka huwezani shut your mouth

Huskii mi huroll with some good shawties wenye wako na class
Huskii wako na doh ni wasupuu wakiblush
Nimekanyagia stash, watu hubleki wakiwa bash
They thought they saw me coming, but I left them on a flash

Twende

[Chorus: Zzero Sufuri]
Otero, huskii hadi kukinyesha siezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero
Huskii hadi kukinyesha siezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero

Otero, Otero, Otero, Otero
Otero, Otero, Otero, Otero

[Bridge]
Kimoda kimoda kimoda kimo- kimoda
Kimoda kimoda kimoda kimo- kimoda
Kimoda kimoda kimoda kimo- kimoda
Mmhh, mboka doba

[Verse 2: Toxic Lyrikali]
Nang’ang’ang’ana kuingiza box machura
Mi naunbox mandula either way zote ni ndula
Otero juu yangu naskia ulienda ushago
Tukidrop zero gravity doba inabaki top

Vimoda, ka hatukubambi unaeza enda nje ya border
Vimoda nikiwa mless hungepata nimekopa
Thokoma, chemba, chuma planyo lina na copper
Manyongi nimechangachanga initolee ingine moja

Siwagotei backstage juu walidai mi ni wa wave
Kaa nina mambo na wewe mi nakutrace
Ukinikanyaga na nanukisha, mi ndio the shit
Main stage solo, backstage tuko kaa mtu soo

Nakuwanga nimemeza roho, chocha nikupige ma-O
World Boss tuko na Zzero na ni wa ras fao
Tunaball juu ya hao ma-O siingii box ya mahoe
Si wangu so ye si ex, triangle, through kwa bro

Juu mi ni Otero

[Chorus: Zzero Sufuri]
Huskii hadi kukinyesha siezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero
Huskii hadi kukinyesha sieezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero

Otero, Otero, Otero, Otero
Otero, Otero, Otero, Otero

[Outro: Zzero Sufuri]
Huskii hadi kukinyesha sieezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero
Huskii hadi kukinyesha sieezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero

Otero, Otero, Otero, Otero
Otero, Otero, Otero, Otero

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *