Lyrics > Kapitani – Shing Lyrics Ft. Toxic Lyrikali

Kapitani – Shing Lyrics Ft. Toxic Lyrikali

Yoh
Inarecord kweli?
(We Global Music)
Yoh yoh yoh

[Verse 1: Kapitani]
Kwetu kucute masaa mbaya kunaget ugly
Ati mtatu-round hizo ni jokes za Charlie Chaplin
Trust me, tunajiuliza mtafika saa ngapi?
Mokoro akienda party anatuletea pilau inabaki

Mbona abakishwe si unadeal na magirimba
Huezi tupima ujanja na utupime ujinga
Tunakutokea ni ka unapeana mafuta na unga ya ngano
Fala ana vitisho ni kama amekuja kuona mpira, like that

Just like that
Nabonga ghetto where my people like that
Mi nimesweatia fi everything I got
Tuliza mfupa ama ufinywe kama mkebe ya makaa

[Chorus: Kapitani]
Ujue nimejipin, ujue nimejipin
Nani alikushow utauza bangi huku hivi
Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing
Khumundu khumundu hakuna mrahisi huku East

Ujue nimejipin, ujue nimejipin
Nani alikushow utauza bangi huku hivi
Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing
Khumundu khumundu hakuna mrahisi huku hivi

[Verse 2: Toxic Lyrikali]
Side giza ni advantage na jua huchomokea
Niko njei magiz ni ka nasuffer imsomnia
Chuom ni ndogo na ukiingia unatoshea
Kesho kesho mchana utashuku wenye wanaroria

Njege wakiwa solo, kikitu inapotea
Kuigisia ni kusota na nahofia mahoe pia
Ni uwin town na tunacause pneumonia
Raia atakutetea lakini choche nitakuotea

Vijana wa 19 sitini
Tulikuwa wa kwanza hadi kwa mpilili
No silly movie active kama Eastleigh
Jeshi kama kambi na nikiwa solo sikimbii

Si mapara nikikushow iko kwa kichwa
Paria paria za maingo tunaadisika
Usinitaje hatuko rika moja na hujatajirika
Ukikunywa liquour, unabadilika

[Bridge: Kapitani]
Ujue nimejipin, ujue nimejipin
Nani alikushow utauza bangi huku hivi
Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing
Khumundu khumundu hakuna mrahisi huku East

[Verse 3: Kapitani]
Eeeh, juzi tutry ka kiatu mpya
Maboy wako unenge ni unga tunaskuma
Kuna namba nkidunga tunakuja kuwadunga
Mrazi ka Free kick venye tunampura

Kitu ingine hapana cheza na hesabu
Ju unaeza pigwa jack ni kama unapandishwa mariamu
Ata ningekuwa Shiti, sina masaa ya kuchekesha watu
We ni Kang’ethe tafuta mahali utauzia nyaru

Mangwai ka ma ss-ss, yangu nipakie bugizi
Mi hurogwa na mangoko na macianda na malyrics
Mrazi apate beating, we labda slippers
Haina haja utoke na TV

[Chorus: Kapitani]
Ujue nimejipin, ujue nimejipin
Nani alikushow utauza bangi huku hivi
Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing
Khumundu khumundu hakuna mrahisi huku East

Ujue nimejipin, ujue nimejipin
Nani alikushow utauza bangi huku hivi
Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing
Khumundu khumundu hakuna mrahisi huku hivi

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *