Lyrics > Kitu Sewer – Zimeshika Lyrics

Kitu Sewer – Zimeshika Lyrics

Kitu Sewer - Zimeshika Lyrics
Zimeshika

Listen and read Kitu Sewer – Zimeshika Lyrics on Doba KE. “Zimeshika” is the eighth song on the Makali Man album.

Read Kitu Sewer – Zimeshika Lyrics

Hidden Vibes Africa

[Verse 1]

Us’take kuona jeshi imeingia na mbakumbaku mbwegze
Ndasu ya amoj, nangos ya pili, mandovu lala chini
Si hapo ndio ukionyesha unanimesea
Karis unachoma game, ye’ huturuka ka Kangol

Jeshi ishanishow nikufie team, lakini mi sio Fergusson
Juu mi sideal na Arsenal
Simu zimelia ako wapi the new sheriff?
Juu enyewe tuko Nyeri

Alafu enyewe geri ishakam, terrorist ndio hao
Enyewe washatuzoea piga hao motherfucker alafu uwatumie mama zao
Arif yangu ametoka neti after miaka ka ndeki
Anakaa ni ka yule msee alimseti anakata maji na ye’

Juu siku hizi ako na manywele za white na dredi
Alikuwa mzito lakini saa hii ako shady ka Slim Shady
Kidogo kidogo madingo walikuwa wanakulia jina ya Uhunye
Wametoka gate ya nyuma

Alafu usitake kuona hadi pedi amesweat
Hadi nashindwa niaje mafedi washakam washamuonyesha zii
Hatuko ithaa yako, tuko ithaa ya wale mafala walikuwa wamekuja
Hapa juu ya biashara zingine ilicit

Lakini hata hatujui ni nini
Zimewafanya mukam hapa, hata hatujui kwanini mmevisit
Enyewe mnajua ni nini tunafanya in business
Enyewe sisi ndo wale wasee wa Ilicit

[Chorus]

Kata maji ka photosynthesis
Dush ya white na branch
Zima fala na stone punch
Ju enyewe amekata ng’ango
Na hata hajakula hata lunch
Mi ndio yule jango
Na donyi na smarta
Na mtu wangu producer
Enyewe sitaji majina wanaknow

[Outro]

Eh mabeshte wangu
East beshte yangu Sifa
Utajua shifta
Mistari mi huandika

Bei yenyewe si hufika
Hao hushangaa kwani kouendaje
Umetupa ball, lakini eh, ume-miscarry
Mi sio goalkeeper

YouTube player
Kitu Sewer – Zimeshika

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts