Lyrics > Lilmaina – Katika Lyrics

Lilmaina – Katika Lyrics

Lilmaina - Katika Lyrics
STUNNA

Listen and read Lilmaina – Katika Lyrics on Doba KE.

On “Katika,” Lilmaina pays homage to legendary Kenyan rapper Prezzo. In the track, he uses the lyrics “Prezzo” (voiced by Sheila Mwanyigha, aka Nikki) and “All eyes on me” from Prezzo’s 2005 mega hit “P-R-E-Z-Z-O.”

Lilmaina subtly brags, owing to his recent success and growth as an artist.

Read Lilmaina – Katika Lyrics

[Intro: Lilmaina, Prezzo, Nikki]

Kama ule Metro hii boomin-
Huh, uh, uh, S-s
Krr, krr, krr, krr, krrrr
Ah, ah, Prezzo
Mbona uko shy venye wewe ni ka-
All eyes on me
Katika
All eyes on me
Katika

Prezzo

[Chorus]

Mbona uko shy venye wewe ni karembo, kwa hivyo baby katika
Naona ukisonga unatishia warembo, cheki, baby katika
Mbona uko shy venye wewe ni karembo, kwa hivyo baby katika
Naona ukisonga unatishia warembo, cheki, baby katika

[Verse]

Ati S-T-U-N-N-A
Ni Stunna jina kubwa better than yesterday
Ni Stunna jina kubwa manze what can I say?
Cheki venye wanafyat wakin’cheki kwenye stage

Stunna man ni m-simple yaani
Toast to the air kama unakula Genge money
Na toast kama ume-embrace mamanzi kwani
Shots ngapi tumerusha wakarudisha yaani, uh

Strictly nikipata ninarusha kama quarterback
And mid sex you know that I hit it from the back
Big cheques niki-sign buda nikipewa guap
Funny venye ganji zimefanya nipatiwe WAP

Na si skillibeng, dem anadai she has never seen richer men
Na kama joh si mimi itakuwa aje them?
Another banger toka Stunna, I got hits joh my men
I got hits joh my men, uh

[Chorus: Lilmaina, Nikki]

Mbona uko shy venye wewe ni karembo, kwa hivyo baby katika
Naona ukisonga unatishia warembo, cheki, baby katika
Prezzo
Mbona uko shy venye wewe ni karembo, kwa hivyo baby katika
Naona ukisonga unatishia warembo, cheki, baby katika
Prezzo

YouTube player
Lilmaina – Katika

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts