Toxic Lyrikali – Most Wanted Lyrics Ft. Kapitani
Hmmm, mboka
Mboka doba
(Big beats Afriq)
[Chorus: Toxic Lyrikali]
Si ndio most wanted
Si ndio most wanted
Si ndio most wanted
[Verse 1: Kapitani]
Judge akipitia file inasema ulipigwa mangumi
Uliguza guzwa ukafura ka rider wa nduthi
Ni uende ichatha ama ushonewe suti
Kaka ?? sidhani itakuwa ya kuenda harusi
Hii ni wrong number hubongi na customer care
Niko thirsty and hungry niko hapa kujilea
Nabonga lions share, kanjo anaona doh hakuna mtu anaonea
Ungekuwa gwanda ungeelewa
Hii yote ni biashara tuko hii pande ingine ya meza
Advantage wako nayo ni bunduki na jela
Mishoni ni simple, ingia toka na mbegega
Maheadi ni safi hii ni stoko mpya nimeleta
Mirista ka leprosy I swear they can’t touch weh
Kabla uturound please fanya mathematics
Hizo comparisons ni za uwaganis mbachwe
Juu ni keki lazima nione nguo zake za birthday
[Chorus: Toxic Lyrikali]
Si ndio most wanted
Si ndio most wanted
Si ndio most wanted
Si ndio…
[Verse 2: Toxic Lyrikali]
Kama snitch stenje walete na zimeritipo
Niko outside but naongea tu na my people
Heavyweight pressure control si mzito
?? pistol chokoza wajue si risto
Kuwaround na kuwakata ki-jigsaw
Mchana kwa mbulu gisi si mbulu haiezi diglo
Mapills niko active ?? naleta pillow
Hujui kurizz hizi zone one reason, reason
Free all majicha in prison
I see mnadhani mi ni wa season
Do it fi the bill sidai kuchachishwa in billboards
Moment of silence naeza zaski pindrop
Nabank mamillions
Nifanye njege minions
Nawapita inawauma kunisimion
Believe we get rich, naweka billion
[Chorus: Toxic Lyrikali]
Si ndio most wanted
Si ndio most wanted
Si ndio most wanted
[Verse 3: Toxic Lyrikali]
Ukikuja kutucriticize tunakuwacha in a critical condition
Tumewashock kila mwezi shocks new edition
Msupa change position nani amesema ni ya mwisho?
Nilimrizz na kumpea King size ya wito…
Man a T, nimeshindwa kuingia detox
Opposite stage ni mamukra kwa ziplock
Snitch kusulubishwa inafaa kuwa suluhisho
Juu ya anger wananitumia vitisho
